Aliyefungiwa na TFF adai hawakufuata utaratibu, kuendelea na majukumu yake

Aliyefungiwa na TFF adai hawakufuata utaratibu, kuendelea na majukumu yake

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
"Hatua ninazozichukua, kesho nakaa na kamati yangu naendelea na uchaguzi kwa sababu vitu viende kwenye urasmi, hakukuwa na sababu yoyote ya mimi kushatakiwa na kamati ya maadili na hawakufuata utaratibu"

"Kama hawakufuata utaratibu maana yake sio sahihi, kesho nakaa na kamati yangu tunaendelea na uchaguzi kama kawaida kuhakikisha haki ya wana Temeke inapatikana, atakayeingia kwenye hili huyo ndiye atakayeharibu uchaguzi"

Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dar es Salam (DRFA), Yusuph Kaiwanga ambaye Desemba18.2024 ilitoka taarifa ya TFF kumfungia kujihusisha na mpira wa miguu kwa miaka mitano.
IMG_1872.jpeg
 
Karia kama Mbowe tu, na hivi latiba ya Tff haika Ukomo anataka afie Kwenye kiti
 
Karia anataka kuturudisha enzi zile za Ndolanga. Tutakuja kumng'oa pale TFF kwa nguvu. Maana ameshajigeuza kuwa Nkulunzinza.
 
Back
Top Bottom