Aliyefungwa kwa kubaka, kuambukiza UKIMWI aachiwa huru

Sahii kabisa
Ila tumpongeze mtuhumiwa maana kujitetea mwenyewe na kuchomoka inahitaji akili zaidi kujua makosa yaliyotokea...

Mahakama za Mwanzo huwa zina makosa mengi sana ambayo hutupwa kwenye rufaa, yatakiwa Mahakimu wawe na elimu na uzoefu na sio kwenda jifunzia mahakama ya mwanzo
 
Sahii kabisa,
Afu kingine mara nyingi mahakimu wa mahakama za mwanzo na mawakili wao wa serikali ufanya kazi kwa mazoea na hisia zaidi kuliko uhalisia.

Hujiona miungu watu
wakiamini hukumu yao pale ndo mwisho na kuacha loop hole nyingi Sana kisheria ambapo watuhumiwa wengi wakikomaa uzitumia Vema na kushinda rufaa zao
 
Hili linafikirisha sna mkuu ni sawa nisema ni kweli nimebaka ila Hakuna ushaid kuwan mm nimemuambikuza ukimwi na pia alikuwa mpenzi wangu tukianza mausiano aliwa na miaka 11
 
Utaweza kuhonga watu wote lakini sio hakimu wa mahakama ya rufani! These people are 'saints'...
Hakimu tena mahakama ya Rufani?!!eti ni watakatifu!!!Mkuu kaa kimya japo wao (majaji)kidogo wana uafadhari kulinganisha na wa mahakama za chini.
 
Mwakyembe waje na majibu juu ya matokeo ya Law school.
 
Magerezi ya mbele mtu yoyote anayeingia na kesi kama hiyo hachukui round. Wafungwa wenzake wanamshughulikia fasta sana.
 
Mahakama ya rufaa, ni mahakama inayoaminika zaidi Duniani.

Sioni haja ya mtu yeyote kuhoji uamuzi wa mahakama hii.

Mahakama ya rufani ikishindwa kutoa haki, basi Mungu pekee ndiye aliyebaki kwenye ngazi ya juu ya mnyororo wa utoaji haki!
Acha kumuingiza MUNGU kwenye mambo yenu ya kipuuzi
 
Kazi tunayo sisi wenye watoto wa kike. Mtu kama huyu anamdhulumu mtoto wako mdogo, anamuambukiza na ukimwi!

Halafu mwisho wa siku anashinda rufaa kwa sababu tu ya uzembe wa hakimu! Anarudi mtaani, anaendelea kufanya uharibifu wake!
NJIA PEKEE NI KUJICHULIA SHERIA MIKONONI.
NDIO NJIA YA HAKI HAINA UBABAIFU
HAYA YA KUKATA RUFAA, KUFANYA DNA, HAISADII HASA KWENYE AWAMU HII, AMBAPO FEDHA NDIO UAMUA KILA KITU
 
Mkuu awamu hii ni pesa yako tu.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Mkuu awamu hii ni pesa yako tu.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app

Mkuu awamu hii ni pesa yako tu.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Hapa ndipo kiwango Cha kufiri kinapo komea.
Mtu Yuko mahabusu hao Maji 3 alionana nao lini?
Nje ya yivyo vifungu vya Sheria vilivyo kiukwa, huoni kama hata ushahidi wenyewe hauna hata nguvu.

Kama Kweli mtuhumiwa alikua akimuingilia marakwamara , walishindwa Nini kumvizia siku ya mdinyo nakumkuta na shahawa Ili na vipimo vya maabara vitumike?
 
Bora awe mkubwa , Kuna wale wanao umiza watoto wadogo sehem za Siri na kuapaka shahawa zizo Toka guest.
Tena anaweza kufanya hivyo hata kwa mtoto wako mwenyewe.
 
Kwenye kesi kama hii DNA wanapima kitu gani naomba nielimishe?,maana huyu kabakwa na kaambikizwa HIV,sasa ili umtie hatiani mtuhumiwa vitu gani vinapaswa kupatikana ili vipimwe DNA?
 
Rushwa na uchawi ndani yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…