Aliyefuta picha zote za Yanga leo aifungia goli 2, hana furaha kabisa pale Yanga

Makavuli

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2024
Posts
1,425
Reaction score
1,829
Ni mwamba Clatous Chota Chama kaingia kambani mara 2 dhidi ya Mashujaa!

Tunaambiwa hana furaha kabisa pale Yanga ndio maana kafuta picha zote kwa mujibu wa watabiri kutoka ukoloni🤣🤣🤣

Na sisi tunasema hana furaha kabisa anarudi ukoloni keshokutwa tu hapo!
 
Amewapeleka nusu fainali ya klabu bingwa afrika baada ya kuwafunga mashujaa fc ya kongo
1000247223.jpg
1000246010.jpg
 
Ni mwamba Clatous Chota Chama kaingia kambani mara 2 dhidi ya Mashujaa!

Tunaambiwa hana furaha kabisa pale Yanga ndio maana kafuta picha zote kwa mujibu wa watabiri kutoka ukoloni🤣🤣🤣

Na sisi tunasema hana furaha kabisa anarudi ukoloni keshokutwa tu hapo!
mwache arudi
 
Mnajitekenya na kucheka wenyewe. Chama apewe mkataba mpya wa miaka 3 hapo Utopoloni. Au mnasemaje vyura?
 
Mkataba itategemea na kiwango chake pale yanga Kuna vyuma vinavyomzidi uwezo ndio maana anaanzia benchi, angekuwa Simba angekuwa anaanza maana sijaona wa kumweka benchi pale,,alafu ujue yanga uwa aibembelezi mchezaji kiwango chako ndio kitakuokoa,,sio Simba kuwalamba miguu wachezaji!
 
Uzuri vyura weshazoeleka kwa maigizo.
 
Mkataba itategemea na kiwango chake pale yanga Kuna vyuma vinavyomzidi uwezo ndio maana anaanzia benchi, angekuwa Simba angekuwa anaanza maana sijaona wa kumweka benchi pale,,alafu ujue yanga uwa aibembelezi mchezaji kiwango chako ndio kitakuokoa,,sio Simba kuwalamba miguu wachezaji!
Ndiyo maana nasema apewe mkataba mpya maana leo amefunga goli mbili saaafi tena akitokea benchi. Au wewe hautaki aongezewe mkataba?
 
Ndo nimekwambia itategemea na kiwango chake mwisho wa msimu atupangiwi na yeyote kumuongeza ama kumuacha yote yako ndani ya uwezo wetu!
 
Mbona unaumauma maneno. Umekuja kutuzodoa ila najua nafsi yako inakusuta. Kama kawaida yako, haujui ushike lipi uache lipi.
 
Inanisuta kwa lipi sasa ebu sema wewe maana sikuelewi
 
Tunaambiwa hana furaha kabisa pale Yanga ndio maana kafuta picha zote kwa mujibu wa watabiri kutoka ukoloni
Ni utabiri au amefuta kweli? Jambo likishatokea, kuna mtu anaweza akalifanyia utabiri tena?
 
Inanisuta kwa lipi sasa ebu sema wewe maana sikuelewi
Umekuja kujigamba kwa Chama kufunga goli mbili ila unajiumauma kusema kama ungependa apewe mkataba mpya. Kinachokufanya uje ujigambe ni nini sasa?
 
Back
Top Bottom