Nimerekebisha!Kaa chini kwanza na upunguze pressure chama kawafunga Dodoma jiji lini tena?
mwache arudiNi mwamba Clatous Chota Chama kaingia kambani mara 2 dhidi ya Mashujaa!
Tunaambiwa hana furaha kabisa pale Yanga ndio maana kafuta picha zote kwa mujibu wa watabiri kutoka ukoloni🤣🤣🤣
Na sisi tunasema hana furaha kabisa anarudi ukoloni keshokutwa tu hapo!
Mkataba itategemea na kiwango chake pale yanga Kuna vyuma vinavyomzidi uwezo ndio maana anaanzia benchi, angekuwa Simba angekuwa anaanza maana sijaona wa kumweka benchi pale,,alafu ujue yanga uwa aibembelezi mchezaji kiwango chako ndio kitakuokoa,,sio Simba kuwalamba miguu wachezaji!Mnajitekenya na kucheka wenyewe. Chama apewe mkataba mpya wa miaka 3 hapo Utopoloni. Au mnasemaje vyura?
Mbumbumbu unaumia ukiwa wapi?Amewapeleka nusu fainali ya klabu bingwa afrika baada ya kuwafunga mashujaa fc ya kongo
View attachment 3246862View attachment 3246863
Ndiyo maana nasema apewe mkataba mpya maana leo amefunga goli mbili saaafi tena akitokea benchi. Au wewe hautaki aongezewe mkataba?Mkataba itategemea na kiwango chake pale yanga Kuna vyuma vinavyomzidi uwezo ndio maana anaanzia benchi, angekuwa Simba angekuwa anaanza maana sijaona wa kumweka benchi pale,,alafu ujue yanga uwa aibembelezi mchezaji kiwango chako ndio kitakuokoa,,sio Simba kuwalamba miguu wachezaji!
Ndo nimekwambia itategemea na kiwango chake mwisho wa msimu atupangiwi na yeyote kumuongeza ama kumuacha yote yako ndani ya uwezo wetu!Ndiyo maana nasema apewe mkataba mpya maana leo amefunga goli mbili saaafi tena akitokea benchi. Au wewe hautaki aongezewe mkataba?
Mbona unaumauma maneno. Umekuja kutuzodoa ila najua nafsi yako inakusuta. Kama kawaida yako, haujui ushike lipi uache lipi.Ndo nimekwambia itategemea na kiwango chake mwisho wa msimu atupangiwi na yeyote kumuongeza ama kumuacha yote yako ndani ya uwezo wetu!
Inanisuta kwa lipi sasa ebu sema wewe maana sikuelewiMbona unaumauma maneno. Umekuja kutuzodoa ila najua nafsi yako inakusuta. Kama kawaida yako, haujui ushike lipi uache lipi.
Ni utabiri au amefuta kweli? Jambo likishatokea, kuna mtu anaweza akalifanyia utabiri tena?Tunaambiwa hana furaha kabisa pale Yanga ndio maana kafuta picha zote kwa mujibu wa watabiri kutoka ukoloni
Alivyofuta mkasemaje?Ni utabiri au amefuta kweli? Jambo likishatokea, kuna mtu anaweza akalifanyia utabiri tena?
Umekuja kujigamba kwa Chama kufunga goli mbili ila unajiumauma kusema kama ungependa apewe mkataba mpya. Kinachokufanya uje ujigambe ni nini sasa?Inanisuta kwa lipi sasa ebu sema wewe maana sikuelewi
Tukasema amefuta. Si kweli?Alivyofuta mkasemaje?