Aliyegendua chipsi yai haendi mbinguni;Nilipata mke wa kizungu sababu ya chipsi yai (zege)

Hivi ni wakina nani waliokaa kikao wakakubaliana kwamba chips ni lazima iwe na mayai mawili na siyo moja wala zaidi ya mawili? [emoji3]

Manake ikiwa na yai moja hainogi na haishibishi, ikiwa na mayai zaidi ya mawili inakifu na huimalizi... [emoji16]
 
  1. Ukamuachia na hela ya matumizi sugar mummy wa kizungu
  2. Akakufulia na nguo kwa kutumia sabuni ya OMO
  3. akanunua na frying pan, mayai, mbatata
Itakua umechakata papuchi ya tahira la kizungu.

Leta nawee uzi wako acha janja janja wa panya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…