Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Kumbe ni stori milidhani ni kitu kilichotokda kweli
Kwani aligeuka mbele ya watu?Waliomuona walidai ni kweli.
Pleeeeaaase! Ukiona sijibu maana yake niko PM,Nilikuwepo eneo la tukio. Ngoja niwawekee picha.
Pleeeeaaase! Ukiona sijibu maana yake niko PM,
We tupe picha, nitakuja tu.. hata zile saa zetu.
Pleeeeaaase! Ukiona sijibu maana yake niko PM,
We tupe picha, nitakuja tu.. hata zile saa zetu.
Nilikuwepo eneo la tukio. Ngoja niwawekee picha.
Kwani aligeuka mbele ya watu?
Inavyosemekana aligeuka mbele ya watu halafu akapelekwa kituo cha polisi ambako kuna watu pia walimuona.
Lazima kungekua na picha... Its probably a cooked story!
Hapo alikogeuka mbele za watu ilikua ni watu ngapi?Inavyosemekana aligeuka mbele ya watu halafu akapelekwa kituo cha polisi ambako kuna watu pia walimuona.