Makoko ni yale ya chini, kile kitu kipo upward kinaitwa matandu! Sema hizi teknolojia za kutuletea mara majiko ya umeme, mara majiko ya gesi, kitu matandu kinaanza kuadimika kadri siku zinavyoenda!! Matandu na kitu maharage ya nazi; acha tu.
Mkuu mbona kama umekumbushwa mbali?! Binafsi sijifichi, hadi kesho mimi na matandu damdam ingawaje enzi za udogo wetu watoto wa kiume wapenda matandu walikuwa wanatusemanga eti "hiyo ni dalili ya hila"!