Pre GE2025 Aliyegundulika si mjumbe halali atimuliwa kwa ulinzi mkali Uchaguzi CHADEMA

Pre GE2025 Aliyegundulika si mjumbe halali atimuliwa kwa ulinzi mkali Uchaguzi CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Aliyegundulika sio mjumbe atolewa chini ya Ulinzi mkali kwenye Ukumbi baada ya kugundulika kwenye Mkutano Mkuu CHADEMA, Mchakato wa Uhakiki ukiendelea.

Bw. Marko Yohana amedai ameonewa, ameonesha kitambulisho na barua ya kuthibitishwa kwake.
 
Nyie acheni wajumbe msije wanyanyasa, huyo mjumbe halali kabisa hadi barua na ID anayo
 
Wamemuonea mzee wa watu kutoka Kibakwe mpaka Daslama kwenda tu kuingia mlimani city!!
 
Aliyegundulika sio mjumbe atolewa chini ya Ulinzi mkali kwenye Ukumbi baada ya kugundulika kwenye Mkutano Mkuu CHADEMA, Mchakato wa Uhakiki ukiendelea.

Bw. Marko Yohana amedai ameonewa, ameonesha kitambulisho na barua ya kuthibitishwa kwake.
View attachment 3209155
Kama ni Katibu wa Kanda awaambie alipata kura ngapi kwenye uchaguzi?.

Katiba ya Chadema inasema mtu anayekaimu hawezi kuwa na uhalali wa kupiga kura.
 
Back
Top Bottom