Kukamilika kwa mradi wa maji Same-Mwanga -Korogwe na kuimarika kwa huduma ya maji katika wilaya ya Mwanga kwamtua kada wa Chadema ndg. Sadi Hemed na kumrudisha chama cha mapinduzi (CCM) na kumpa ushindi wa Uenyekiti wa kitongoji cha lwami katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2024, wilayani Mwanga.”