Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Hongera zako, kama si ujinga huo wakutafuta X, usingekua na chakuwasilisha hisia zako kama ulivyofanya (i.e. huko 'ku find' x) kumepelekea kuwepo kwa komputa, simu navingine vingi , ALGEBRA wa kuheshimiwa sana!Hesabu ni ujinga wa kutafuta vitu vya kijinga.Eti find x...
Hao saba ndo wakina naniHuyo Aljebra ndo nani?yule mwaarab?
Newton na calculus yake ndiye aliyefanya mathe kuwa ngumu
Kwenye physics ni Einstein na Relativity yake,mpaka leo wanaijua watu saba tu
Waliobaki wote wana kariri.
Kwenye Biology je?watson?
Hahahaha mimi circle ilibidi ninyooshe tu mikono nashukuru mungu ata kwenye necta sikuiikutanyanya tu, circle mpka kesho siielewag
Mkuu jitaidi usiwe just an ordinary teacher,kitu ambacho walimu huwa nawashangaa wasioyajua masomo yao.Inawezekana vipi ufundise topic mara kibao say kila mwaka mara mbili au zaidi na bado unakuwa wewe mwenyewe hauijui?Hapa watu wengi wanaelezea mawazo yao,ugumu au wepesi wa somo ni relative term,kigumu kwako kinaweza kuwa chepesi kwa mwingine.Nafundisha Maths ila nguvu ninayotumia kusafirisha ujuzi ni kubwa zaid kuliko Mwl wa Nationalism.. Maths ni kipaji bwana kama vipaji vingine linakuwa automatic kwa mtu aliyejaliwa ila ALGEBRA kaivuruga sana namba
Einstein,Lorentz,FtzGerald,Poincare,Eddington,Hilbert,na MimiHao saba ndo wakina nani