Aliyehitimu kidato cha nne na kufauru vizuri anaweza kwenda somea udaktari wa binadamu?

Aliyehitimu kidato cha nne na kufauru vizuri anaweza kwenda somea udaktari wa binadamu?

Ndondocha mkuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2014
Posts
2,490
Reaction score
2,965
Kuna kijana amehtimu kidato cha nne mwaka jana na kupata C katka masomo yote ya sayanc je anaweza kwenda kusoma udaktari?
 
Kuna ngazi za utabibu kabla ya udaktari anazoweza kusoma kwanza, halafu akajiendeleza baadaye. Kama lengo ni kusoma degree ya udaktari bila kupitia ngazi hizo za chini basi asome form 5 na 6 kwanza.
 
Back
Top Bottom