Ndondocha mkuu JF-Expert Member Joined Feb 17, 2014 Posts 2,490 Reaction score 2,965 May 3, 2014 #1 Kuna kijana amehtimu kidato cha nne mwaka jana na kupata C katka masomo yote ya sayanc je anaweza kwenda kusoma udaktari?
Kuna kijana amehtimu kidato cha nne mwaka jana na kupata C katka masomo yote ya sayanc je anaweza kwenda kusoma udaktari?
pmwasyoke JF-Expert Member Joined May 27, 2010 Posts 4,760 Reaction score 3,324 May 3, 2014 #2 Kuna ngazi za utabibu kabla ya udaktari anazoweza kusoma kwanza, halafu akajiendeleza baadaye. Kama lengo ni kusoma degree ya udaktari bila kupitia ngazi hizo za chini basi asome form 5 na 6 kwanza.
Kuna ngazi za utabibu kabla ya udaktari anazoweza kusoma kwanza, halafu akajiendeleza baadaye. Kama lengo ni kusoma degree ya udaktari bila kupitia ngazi hizo za chini basi asome form 5 na 6 kwanza.