Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
Duuu Hadi Leo hamna aliyeenda atupe mrejesho!?Ngoja waje
Hello wakuu,
Naomba kwa aliyehudhuria mkutano wa wawekezaji UTT aniambie faida za mifuko mwaka Huu ilikua asilimia ngapi Kwa:
- Liquid fund
- Bond fund
- Wekeza Maisha
- Jikimu Na
- Watoto fund
Shukrani MkuuSikuhudhuria sababu sikuwa mjini ila nilifatilia online kwa vipindi tofauti kwa. Kwanza hakuna mfuko iliokuwa chini ya 12% mwaka huu na uliopata faida kubwa ulipata around 14.7%
Liquid - 12.9%
Bond - 12.5%
Jikimu- 13.7%
Wekeza maisha- 14.7%
Umoja - 12.1%
Watoto- 14.1%
Report za kila mwaka hupostiwa kwenye website yao. Inga kwenye websiteHello wakuu,
Naomba kwa aliyehudhuria mkutano wa wawekezaji UTT aniambie faida za mifuko mwaka Huu ilikua asilimia ngapi Kwa:
- Liquid fund
- Bond fund
- Wekeza Maisha
- Jikimu Na
- Watoto f
DailyHv pesa ya hawa jamaa inakua monthly au annually?
Kwel mkuu??Daily
Kweli kaka, kila siku hela inaongezekaKwel mkuu??
Niliingia kulikua Na financial statements tuReport za kila mwaka hupostiwa kwenye website yao. Inga kwenye website
DailyHv pesa ya hawa jamaa inakua monthly au annually?
Hukuangalia vizuri kuna summary wamezipost za lugha ya kiswahiliNiliingia kulikua Na financial statements tu
Hukuangalia vizuri kuna summary wamezipost za lugha ya kiswahili
[/QUOT
Sawa nitacheki Tena Kwa utulivu
Ujinga wa mutual fund kipande kimoja kitaongezeka thamani ya TShs. 0.24567 ☹️☹️☹️Kweli kaka, kila siku hela inaongezeka