Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilipo toile pawe jiko ilipo jiko pawe choo cha master ya pili ,veranda ya nyuma achana nayo uifanye public toilet ya nje.OVA
Hii bedroom ni ya house boy na master bedroom ni ya wageni. Kama binti amekuja kusalimia na mume wake.Hizi ni nyumba za wazungu, hazitufai sisi waswahili (extended families), eti Bed room moja tu!!!--- ubinafsi na uchoyo wa kizungu kwangu mwiko.
Popote pale dining /living room iwekwe mimi kwanza nitahoji kwanini Bed room ni moja???!!
Karamani kamejaa ubinafsi na uchoyo.Ukifanya adjustments ndogo haka karamani ni katamu sana
Hii bedroom ni ya house boy na master bedroom ni ya wageni. Kama binti amekuja kusalimia na mume wake.
Na hiyo kitchen huyo mgeni anaruhusiwa kujipikia??Hii bedroom ni ya house boy na master bedroom ni ya wageni. Kama binti amekuja kusalimia na mume wake.
Halafu hapo kwenye master bedroom pakae nini ?Hii sehemu ya master bedroom ingehamia dining and living room
Ili Dining and Living room iwe karibu na Kitchen ?Dining and living room
Jiko liungane na living area. Liwe hall Moja kubwa. Kupika, kuserve drinks kuosha vyombo huku mnaongea ni romantic siyo unajificha uani.