Aliyeimba huu wimbo wa "Huu mwaka" mi naona kakosea huu mwaka 2024?

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Pita pita mtaani yaani watu wamechoka sana hakuna cha maana maisha yao yamekuwa magumu. Nuru za watu zimepotea na kama watu wamejikatia tamaa.

Kweli ni nyimbo nzuri ila imekosea kuingia 2024
 
Bado nusu mwaka mkuu, usifunge hesabu mapema 😀 😀
 
Back
Top Bottom