Kaka yake shetani JF-Expert Member Joined Feb 1, 2023 Posts 5,771 Reaction score 14,732 Jul 15, 2024 #1 Pita pita mtaani yaani watu wamechoka sana hakuna cha maana maisha yao yamekuwa magumu. Nuru za watu zimepotea na kama watu wamejikatia tamaa. Kweli ni nyimbo nzuri ila imekosea kuingia 2024
Pita pita mtaani yaani watu wamechoka sana hakuna cha maana maisha yao yamekuwa magumu. Nuru za watu zimepotea na kama watu wamejikatia tamaa. Kweli ni nyimbo nzuri ila imekosea kuingia 2024
S Soulja boy JF-Expert Member Joined Oct 3, 2015 Posts 4,052 Reaction score 7,375 Jul 15, 2024 #2 Bado tunaforce
Replica JF-Expert Member Joined Aug 28, 2017 Posts 1,681 Reaction score 8,887 Jul 15, 2024 #3 Kaka yake shetani said: Pita pita mtaani yaani watu wamechoka sana hakuna cha maana maisha yao yamekuwa magumu. Nuru za watu zimepotea na kama watu wamejikatia tamaa. Kweli ni nyimbo nzuri ila imekosea kuingia 2024 Click to expand... Bado nusu mwaka mkuu, usifunge hesabu mapema 😀 😀
Kaka yake shetani said: Pita pita mtaani yaani watu wamechoka sana hakuna cha maana maisha yao yamekuwa magumu. Nuru za watu zimepotea na kama watu wamejikatia tamaa. Kweli ni nyimbo nzuri ila imekosea kuingia 2024 Click to expand... Bado nusu mwaka mkuu, usifunge hesabu mapema 😀 😀