M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Labda alikua Hana bundle wakati tukio likitokea au ni mpinzani wa Gekul kwenye moja-mbiliUmetokea wapi na habar hii ya zaman sana? Nini kimempata kwan huyo kijana? AU NDIO WEWE MWENYEWE?
kwani si kuna wakili kimbelembele alikua anamsaidia? au kamtelekeza kwababu ya kukosa sifa mitandaoni?π
kwani yule wakili mpenda misifa aliekua akimtetea, mliacha kumsifia mitandaoni akavunjika moyo na akamtelekeza au imekuaje tena? πKijana anayesemekana aliingizwa chupa sehemu za haja kubwa na Mheshimiwa Naibu Waziri (Mstaafu) na Mbunge wa Babati Mjini anastahili huduma za kisaikolojia vinginevyo tutampoteza Kwa kadhia Ile.
Dogo ashakuwa hanisi sasa umefurahi ehhh ngoja mchicha mwiba wazidi kuongezekaakwani si kuna wakili kimbelembele alikua anamsaidia? au kamtelekeza kwababu ya kukosa sifa mitandaoni?π
nadhani wakili wake anaweza kua ana mchango Fulani muhimu sana kwenye hilo, na naskia wakali huyo huyo ameenda pia kupoteza haki za binti alie lawitiwa Dodoma pia πDogo ashakuwa hanisi sasa umefurahi ehhh ngoja mchicha mwiba wazidi kuongezekaa
Ova