Aliyejioa mwenyewe ajipa talaka kisa upweke

PLAN B VERYFIED

Senior Member
Joined
Aug 10, 2023
Posts
169
Reaction score
589
Mshawishi wa Kibrazili #SuellenCarey, ambaye aligonga vichwa vya habari mwaka jana kwa kujioa kama kitendo cha ujasiri cha kujipenda, sasa amewasilisha kesi ya talaka kutoka kwake mwenyewe huku akisema amekuwa mpweke.
.
Baada ya kukaa vikao kumi na Mwanasaikolojia aligundua kuwa kujitoa kwenye kifungo cha ndoa ya yeye mwenyewe kutamfanya ajiskie huru.

 
Kwahiyo alikuwa anajipelekea moto mwenyewe?😂
 
Huyo amechoka madildo,ngoja arudi akapigwe matukio mbona atajioa tena?
 
haya mtu kajishindwa mwenyewe lkn kuna nyumbu yenye pua ya ng'ombe atajitosamo baadae atarudi analia kwa kwikwi!..😁
 
Wakuu hii ishu nimejaribu kufikilia sijapata majibu labda na nyie mnifafanulie zaidi.

Hivi mtu anaweza vipi kujioa mwenyew alafu Yale mambo yetu sasa anafanya na nani [emoji2957][emoji2296] au inakuaje hapo Wakuu

[emoji116][emoji116]
 

Attachments

  • IMG_3651.jpg
    716.6 KB · Views: 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…