mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 426
Mwanamitindi Suellen Carey amejiondoa baada ya ndoa ya peke yake iliyidumu mwaka mzima kutofanikiwa kama alivyopanga . Mwanamitindo huyu mwenye asili ya Brazil anaishi Uwingereeza alishangaza ulimwengu baada ya kufunga ndoa ya peke yake. Suellen amejioa na amekua akihudhuria vikao 10 vya matibabau ya wanandoa (marriage therapy) ili kuepukana na upweke lakini baadae yakamshinda na kuamua kujipa talaka.