Mindyou JF-Expert Member Joined Sep 2, 2024 Posts 2,536 Reaction score 7,194 Aug 18, 2025 #1 Wakuu. Mambo yanaendelea kuwa mazuri. Huyu hapa ni yule mdada aliyepinga Mpina kugombea Urais ACT Wazlendo. Anaitwa Ndala Monalisa. Leo akiwa kwenye interview Wasafi amejitokeza akisema kuwa hajatumwa na yeyote kupinga Mpina kugombea Urais ACT Wazalendo Your browser is not able to display this video.
Wakuu. Mambo yanaendelea kuwa mazuri. Huyu hapa ni yule mdada aliyepinga Mpina kugombea Urais ACT Wazlendo. Anaitwa Ndala Monalisa. Leo akiwa kwenye interview Wasafi amejitokeza akisema kuwa hajatumwa na yeyote kupinga Mpina kugombea Urais ACT Wazalendo Your browser is not able to display this video.
Kabende Msakila JF-Expert Member Joined Oct 7, 2020 Posts 2,091 Reaction score 1,918 Aug 18, 2025 #2 Monalisa unatumika vibaya - lkn pia kwa taratibu za kiofisi unadhani tume, au msajili atafanyia kazi nakala ya barua.
Monalisa unatumika vibaya - lkn pia kwa taratibu za kiofisi unadhani tume, au msajili atafanyia kazi nakala ya barua.
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,675 Reaction score 126,930 Aug 18, 2025 #3 Mama wa watu anataka katiba ifuatwe lakini madalali wameshauza chama
econonist JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 25,522 Reaction score 40,795 Aug 18, 2025 #4 Ingekuwa CHADEMA chap chap wangefanyia kazi. Ila kwa sababu ni ACT hakuna kitu kitafanywa.
F Fundi Mchundo Platinum Member Joined Nov 9, 2007 Posts 13,075 Reaction score 11,682 Aug 18, 2025 #5 Monalisa hana kosa. Wamelikoroga wenyewe. Amandla...
Ileje JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 13,667 Reaction score 21,296 Aug 18, 2025 #6 Benjamini Netanyahu said: Mama wa watu anataka katiba ifuatwe lakini madalali wameshauza chama Click to expand... CCM na ACT Wazalendo jora moja! Wote wamekiuka kanuni za kumteua mgombea Urais!
Benjamini Netanyahu said: Mama wa watu anataka katiba ifuatwe lakini madalali wameshauza chama Click to expand... CCM na ACT Wazalendo jora moja! Wote wamekiuka kanuni za kumteua mgombea Urais!
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,675 Reaction score 126,930 Aug 18, 2025 #7 Ileje said: CCM na ACT Wazalendo jora moja! Wote wamekiuka kanuni za kumteua mgombea Urais! Click to expand... Ni ndugu hao
Ileje said: CCM na ACT Wazalendo jora moja! Wote wamekiuka kanuni za kumteua mgombea Urais! Click to expand... Ni ndugu hao
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Aug 18, 2025 #8 Vituko siasani