Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
[emoji38][emoji38][emoji38] Haya ngoja niseme sawaAlikua anaendelea kusoma online class, inawezekana kasha hitimu na sasa ame qualify kufundisha rank hizo za league
Nakumbuka kipindi kile wakati Simba wanamchukua Thierry Hitimana ambaye ni kocha mwenye leseni A ya CAF kusimama uwanjani ilisemekana Da Rosa alikua anapata lesen yake itakayomuwezesha kukidhi vigezo vya kusimama akiwa kocha mkuu, kabda au ifikapo JanuaryAlikua anaendelea kusoma online class, inawezekana kasha hitimu na sasa ame qualify kufundisha rank hizo za league
Proudly AfricanHii ndio Africa bhana ! Da Rosa alipokuwa Simba alikataliwa kufundisha timu hiyo kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa , kwa madai kwamba hajakidhi vigezo vya Elimu anayotakiwa kuwa nayo kocha anayesimamia timu kwenye michuano hiyo
Bali leo ameonekana alisimamia timu ya Taifa inayoshiriki michuano ya AFCON ! hivi Champions League ni kubwa kuliko AFCON ?
Umeifupisha hii threadAlikua anaendelea kusoma online class, inawezekana kasha hitimu na sasa ame qualify kufundisha rank hizo za league
Wangetuwekea na hako kacheti kake basi ili tuhitimishe kihalali basiumeifupisha hii thread
na hasa baada ya kushindwa kumlipa maana mpunga uliokuwa unategemewa ni ule wa CAFSimba waliachana nae sio kwa sababu ya vyeti, ni kwa kushindwa kuivusha timu kuingia Groups stage ya Champions league. Hayo yalikuwa ni mashart ya mkataba wake na Simba.
Izi stori umezitoa wapina hasa baada ya kushindwa kumlipa maana mpunga uliokuwa unategemewa ni ule wa CAF
Alisoma online akapata cheti DecemberHii ndio Africa bhana! Da Rosa alipokuwa Simba alikataliwa kufundisha timu hiyo kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa kwa madai kwamba hajakidhi vigezo vya Elimu anayotakiwa kuwa nayo kocha anayesimamia timu kwenye michuano hiyo
Bali leo ameonekana alisimamia timu ya Taifa inayoshiriki michuano ya AFCON hivi Champions League ni kubwa kuliko AFCON?
kiko wapi ?Alisoma online akapata cheti December
Huo ndio ukweli ambao unafichwa , MO hajawahi kulipa mshaharaIzi stori umezitoa wapi
Gsm analipa mshahara sioHuo ndio ukweli ambao unafichwa , MO hajawahi kulipa mshahara