Aliyekiri kumuua mpenzi wake aachiwa huru

astagfirullah
 
Tatizo ni waendesha mashitaka waliandaa kesi laini silaha iliyotumika haikuonyeshws iko kitengo inabidi kifanyiwe kazi
 
Kwa hiyo pamoja na kukutwa na tshirt yenye damu bado haikutoshaa???
Anaweza kukiri kwasababu ya shinikizo fulani au uoga kukiri tu siyo sababu ya kumfanya kuwa ndiye ameuwa kwaiyo na ambao awajakiri wachiwe huru kwasababu awajakiri sheria haziko hivyo zipo kwa haki zinatazama ni mazingira gani mtumiwa alikiri kosa
 
Aliuwawa alikuwa ni Ex wajamaa..

Siku aliyopotea huyo mdada kuna mtu alimuona mshkaji akiwa na huyo mdada..

Jamaa anakiri alimuhisi demu wake anamcheat..

Siku ya demu anapotea jamaa alionekana nae..

Siku anakamatwa alikutwa na Tshirt yenye Damu..

Jamaa anakiri kumuua demu..

Alafu Judge uchwara anasema mahakama imekosa ushahdii wa kutoshaa ni upuuzii watu wanafungwa kwa ushahidi wa maneno tu leo ushahidi mpaka wa kimazingira upoo alafu falaa linaachiwaa huruu...Kenya kwa Rushwaaa wamezidi sasa haya mafalaa.

ACHENI KUJIDAI MANAIJUA SHERIA BHANA... Hii case kuna rushwa mimi angekuwa huyu ni dada angu kauwawa nasema ningekata rufaa mpaka Jamaa afungwe maisha kama sio Kunyongwaaa liuaji hiloo..
 
Hata lulu Michael aliachiwa huru licha ya kumuua kanumba, inategemea na nyota yako, mwengine akiuwa simba anachezea mvua za kutosha
 
Hao majaji wanajua namna gani Polisi hutengeneza ushahidi
Soma ile habari vizuriii...!! Polisi wanatengeneza vipi mazingira kwani wao ndo wamemuua??? Kwamba jamaa aliekuwa anacheat nae ndo kamuua then katoa hela jamaa afungwe???
 
Sasa hapo mahakama haina uwezo wa kumwita shetani kutoa ushahidi kuwa ni kweli ana husika!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapa nimekuelewaa...dyudyuu imefanya kazi
Kapigwa dudu vizuri na jamaa yake usiku uliopita kabla ya maamuzi ya kesi.
 
Tatizo ni kwamba kama uliua ile damu itakulilia tu. Wakati mwingine bora utumikie adhabu inaweza kukupa ahueni.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu achana na kukiri ebu angalia mazingira ya hii kesi.. Ingekuwa bongo akula miakaa walahi
Umewahi kula kibano cha polisi wale wa kitengo cha Crime Scene?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…