papaayenga
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 764
- 504
Sheria sio soga za mtaani wewe, ..kinyume chake pia ni kua Kama mtuhumiwa angekataa na ushahidi upo usio na Shaka Basi angefungwa....hivo jaji hafuati mawazo binafsi..anafuata sheria na mwenendo wa kesi
Mbona unaanza kuleta hisia katika jambo la kisheria . Watu wanaongelea. Hata kama angeuwawa mama yake mzazi, sasa utamfunga tu kisa una uchungu wa kuuliwa mama hata kama hakuna ushahidi wa kimazingira?Natamani auwawe maamaako halafu uandike haya
Hat akikimbia nchi bado kuna uwezekano mkubwa huko aendako ataua tena. Ndio maana zamani ilikuwa ukiua lazima wakuue maana wanajua lazima ile damu itakusumbua na utaua tenaAna subiri nini kukimbia nchi ... Sifurahishiwi na kitendo alicho kifanya no kitendo cha kinyama na cha ukatili mkubwa hakifai kufanywa kwa binaadamu wala wanyama
Ila kama Mimi ningekuwa ndiye yeye baada ya kuachiwa lazima nikimbie nchi
Ahaaa Aya !Ni nani shahidi wa kweli kuliko alietenda kitendo na akikiri akiwa na akili timamu kwa vipimo vyote?
Kama ushahidi utosheleza kumfunga au kumuachia huru mtuhumiwa maelezo yake huhitajiwa kwa msingi upi?
Hapo hakuna sheria wala nini pananuka rushwa tu
Hii ni kama yule dogo wa miaka 17 aliyebakwa ila mahakamani kasema hakubakwa ni alitaka mwenyewe na alifurahia tendo.Muuwaji anakiri alafu Hakimu anasema hakuna ushahidi wa kutoshaa...!! Aibuuuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha tu sasa eti pale watu wanataka mtuhumiwa aachiwe aiseeHii ni kama yule dogo wa miaka 17 aliyebakwa ila mahakamani kasema hakubakwa ni alitaka mwenyewe na alifurahia tendo.
Duuh msala sanaa...!Nakumbuka kesi ya mwangosi kule iringa. Yule askari alifungwa kifungo cha maisha lakini baadae akakata rufaa na akashtakiwa kwa kosa la kuua bila kukusudia. Hoja zake zilikua ni yeye hajatokea nyumbani kwake na silaha kua anaenda kuua, silaha alipewa ofisi kwake.
Hiyo silaha iliyotumika kufanya mauaji yeye hajajichagulia bali alifanya kupewa na mkuu wake wa kazi.
Pia siku ya tukio hakujua kama mwangosi atakua eneo la tukio. Lakini hapo kabla hajawahi kumfahamu mwangosi .
Nadhani jamaa atakua keshatoka jela.