PostGE2025 Aliyekosoa mchakato wa uteuzi wa Samia ndani ya CCM, Mzee Godfrey Malisa ashtakiwa kwa UHAINI

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kwa kweli kama ndugu angekuwa ni Polepole ningesema apotee tu na asirudi. Ni upumbavu w kuacha kazi inayokupa mshahara kisha unarudi unaanza kutoa siri zake za ndani.

Wangemuacha hai ingekuwa ni kosa kubwa Ki-intelligensia
 
Kwa jibu hili nimeshaelewa wewe ni nani sina haja ya kuendelea na mjadala na wewe.
 
Hii nchi kila raia anaekosoa serikali hii ya bi chura ni MHAINI!
 
Huyu Godfrey Malisa alikuwa anatumika na watu fulani, ile siyo akili yake.

Muache amalize uzee wake kwa shida
Hivi kwa nini kumekuwa na tabia ya kutuhumu watu wenye mitazamo tofauti ya kwamba wanatumika??

Hii ni kati ya tabia mbaya.
 
Kwa kweli kama ndugu angekuwa ni Polepole ningesema apotee tu na asirudi. Ni upumbavu w kuacha kazi inayokupa mshahara kisha unarudi unaanza kutoa siri zake za ndani.

Wangemuacha hai ingekuwa ni kosa kubwa Ki-intelligensia
Na mtu na akili timamu kabisa, unajitokeza hapa na fikra za namna hii na unajitambua wewe kuwa bado ni binaadam anayeishi?

Kwanza huyo Polepole alitoa siri zipi hasa! Anatofauti gani na mtu kama wewe kiuhalisia; mbali ya kumhusu Samia na pengine kuhatarisha ulaji mnaoutegemea kwa kuwakandamiza waTanzania?

Polepole alichangia lipi la muhimu sana katika ukombozi wa taifa hili kutoka mikononi mwa watu waovu nyinyi?
 
Kuna siku hii nchi kwa haya mambo CCM inataka kujiona ikichinjwa.
 
Ok awa tuseme alikuwa qnatumika, swali la msingi, je alichokua anaongea ni kweli au alizusha
Hakimhusu. Whether Samia ni mgombea halali au siyo halali wanaojuwa ni Mkutano Mkuu wa CCM.

Hawa wazee hawakujiandaa kimaisha, wanapokea vijisenti kubeba hoja za watu.

Wewe jiulize Godfrey Malisa by 2015 alikuwa mwanachama wa CUF, huo ukereketwa wa CCM anautolea wapi?
 
Haya ndio mambo yanayofanywa na watu wanaodai tunaelekea kwenye maridhiano? Ndio maana Watanzania wanadharau kauli mbiu hizo za maridhiano
 
Hivi kwa nini kumekuwa na tabia ya kutuhumu watu wenye mitazamo tofauti ya kwamba wanatumika??

Hii ni kati ya tabia mbaya.
Kwani wewe umewahi kumsikia au kumfahamu Godfrey Malisa kabla ya issue ya uchaguzi wa CCM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…