Nijuavyo Polepole na wewe, pamoja na Genge lenu lote hamna tofaiuti naye isipokuwa inapomhusu Samia Suluhu Hassan. Unaponiambia mimi kutoa povu juu ya huyo Polepole ni kwamba huelewi ulichosoma hapo kabla ya kujibu yaliyoandikwa.Kwani wewe Humphrey Polepole ni nani wako hasa?? Maana povu kama lote
Yale hayakuwa mawazo bali chokochoko!! Usipodhibiti wakorofi kama hawa wanaotoboa mtumbwi utazama kwenye ziwaniNamjua muda mrefu ila hiyo sio fact. Kila anayetoa mawazo tofauti bila kujali unamjua au humjui anatuhimiwa kuwa anatumika.
Je ni kosa watu kuwa na maoni tofauti au kinzani?
Sawa, tunakusubiri na wewe ukosoeSi kila anaekosoa ni masikini. Kama unaogopa kukosoa sababu ya mshahara badi huna moral aothority, ww ni fukara mwenye nafasi tu
Angebakia CCK ambako mwaka 2015 aligombea Urais. CCM kaingia 2021 na anataka kujifanya anakijuwa kuliko wenye nacho.Kubalini tofauti za kifikra.
Polepole kwanza ni mmoja kati ya watu 5 waliokuwa kwenye timu ya Magufuli ambayo ndiyo ilianzisha mambo ya utekaji, uuaji na ukandamizaji demokrasia. Sina huruma na yaliyompata Polepole kwa kuwa anaywea kikombe ambacho aliwanyweshea akina Ben SaananeNijuavyo Polepole na wewe, pamoja na Genge lenu lote hamna tofaiuti naye isipokuwa inapomhusu Samia Suluhu Hassan. Unaponiambia mimi kutoa povu juu ya huyo Polepole ni kwamba huelewi ulichosoma hapo kabla ya kujibu yaliyoandikwa.
Hilo ni gazeti la kimkakati dhidi ya mslahi ya TanzaniaMwananchi limekuwa gazeti la hovyo
Hahaha since 2019 nakosoa , na nitaendelea. Pazuri nitapongezaSawa, tunakusubiri na wewe ukosoe
Ngoja niseme hivi: Sijajua hasa ni kipi unakipigania wewe katika misimamo yako humu JF. Sijaona popote ninapoweza kukuweka kwenye kundi la "nguruwe" wanaofugwa na Samia; lakini bado umeng'ang'ania huko huko!Polepole kwanza ni mmoja kati ya watu 5 waliokuwa kwenye timu ya Magufuli ambayo ndiyo ilianzisha mambo ya utekaji, uuaji na ukandamizaji demokrasia. Sina huruma na yaliyompata Polepole kwa kuwa anaywea kikombe ambacho aliwanyweshea akina Ben Saanane
Kutumia matusi kwenye mjadala badala ya hoja ni kufilisika kiakili. Mirembe au Lutindi inakuhusuNgoja niseme hivi: Sijajua hasa ni kipi unakipigania wewe katika misimamo yako humu JF. Sijaona popote ninapoweza kukuweka kwenye kundi la "nguruwe" wanaofugwa na Samia; lakini bado umeng'ang'ania huko huko!
Kama ni kutetea CCM, sioni uwepo wa CCM kama chama wakati huu.
Kwa hiyo nafasi pekee iliyobaki ambayo inaweza kukuenea wewe ni kuwa furushi tu analolitumia Samia, pengine kwa uteuzi ndani ya serikali haramu.
Polepole asingemsema Samia, hadi leo hii ungekuwa unaimba sifa zake; huu ndio upuuzi wa ajabu sana uliowajaa watu kama wewe.
Lugha ileile ya Samia, tunajuwa maana yake ni nini. Mnapoambiwa ukweli inakuwa "matusi".Kutumia matusi kwenye mjadala badala ya hoja ni kufilisika kiakili. Mirembe au Lutindi inakuhusu