BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Peter Obi ambaye alishika nafasi ya 3 katika Matokeo yaliyotangazwa na Tume Huru ya Uchaguzi amesema Majaribio ya kuwadanganya Wananchi ni ya kusikitisha.
Licha ya kutoweka wazi ushahidi wa madai yake, Obi amesema Serikali imekuwa ikifanya kila namna kupoteza ukweli juu ya Wizi wa Matokeo ya Uchaguzi ambao anadai yeye alishinda,
Peter Obi aliyekuwa akiungwa mkono na makundi ya Vijana na Wafanyabiashara wanaotaka mabadiliko ya kiutawala amefungua kesi Mahakamani kupinga Matokeo ya Uchaguzi huo.
==============
The third-placed candidate in Nigeria's presidential election, Peter Obi, says he is being pressured to leave the country.
He did not offer proof to back the claim but said it was part of government's attempt to "divert attention" from a "blatantly stolen" elections.
Mr Obi has already challenged the results of the presidential election at Nigeria's highest appeal court.
"The attempts to manipulate Nigerians is very sad and wicked," he tweeted on Wednesday night.
An audio recording has been doing rounds in Nigeria of an alleged conversation between Mr Obi and a religious leader, in which the presidential election is likened to a religious war.
Mr Obi said the audio was a "fake doctored audio call".
"Let me reiterate that the audio call being circulated is fake, and at no time throughout the campaign and now did I ever say, think, or even imply that the 2023 election is, or was a religious war," he said.
He added that his lawyers will take action against an online publication that circulated the clip.