Aliyekua mume wa Zari, Ivan hoi mahututi hospitali

ishu ni kuwa jamaa ana umwa na ni mzaz mwenzie inabid akamcheki, huyo Ivan wale watoto wengine ndio anawatunza yeye, so lazima hata domo apige kimya kama yeye mjanja awatunze wote watano tuone
Cheki urithi!
 
Kwa bata hizi walizozoea watoto lazima zari awe strong kupata haki yao,bila hivyo watoto watasimangwa na kuchekwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…