Aliyekua mume wa Zari, Ivan hoi mahututi hospitali

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hamna kupenda ndio kulivo ni kama ujinga flan, tunazidiana level za ujinga tu.
pia ukimwona zari sidhani kwa haraka kama utafikiria watoto watatu.
Kwangu hapana aisee hata Beyonce siwezi kumpenda kimapenzi hata aje kulia na kugaragara pale kwetu ubaruku kwenye mashamba ya mpunga, Huo moyo sina kwa kweli, na huo ujinga pia Mungu alininyima, kuna mijitu inafikia hatua ya kulambana sehemu ya haja kubwa na kusingizia eti mapenzi, kupenda kwa moyo ndio kukufanye mlambane ile sehemu kweli!!!!!!!!!!!!!!!!????????????????
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
braza Beyonce live kakuangikia mtoto wa kibongo, huwezi vunga wewe.
ila its hard mwanangu, mi mwenyewe sishauri kuwa na mtu aloisha zaa watoto wa3 thats too much, mmoja baeeza kumsamehe
 
hypotension {low blood pressure} / hypertension {high blood pressure}

kipi ni kipi mleta uzi, mbona umechanganya??
 
Mungu amponye, mpaka hapo Mungu kamuepusha kifo, maana heart attack ikikupata ni unakufa onspot, ndo maana kifo kimemkosa kosa na yupo kwenye komà, hata akipona hatorudi kwenye hali ya kawaida sana sana anapata hemiplegia.
 
Ndo nn hiyo ma mdogo
 
Eleza vizuri sisi hkl umetuachaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…