Aliyekufa kwa ukimwi alikuwa ni hawara yake!

Hizi tabia za kujifanya mnatoa mifano wakati wewe ndio muhusika mtaacha lini? maana kuna tabia imeshajengeka hapa kwa members kutumia third part. njoo hapa kama wewe na sio kusingizia eti kwa mfano!

Hukuwa na maoni mengine zaidi ya haya uliyoweka?
 
Hivi hadi leo bado jamii ina "unyanyapaa" kiasi hiki? strange!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…