Aliyekutoa bikra ndiye aliyecheza na usichana wako, wengine hatuhusiki kabisa

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,286
Reaction score
39,418
Wanawake sikilizeni kuna kitabia mnacho ambacho binafsi huwa kinatukera sana sisi wanaume. Wanawake nataka niwambie ukweli utakuta mmekwaruzana na demu/mpenzi wako afu anakwambia "nilijua tu utakuja kuniacha na kuchezea usichana wangu".

Kina dada aliyekuharibia usichana wako ni Mwanaume aliyekutoa bikra kisha akakuacha huyo ndo mpe hizo lawama mimi niliyekukuta huna bikra usinipe hizo lawama hata kama nakuacha kiroho safi kuwa mpole, mpe hizo lawama aliyekutoa bikra akauacha. sijakukuta na bikra halafu useme nimechezea ubinti wako .

Wanaume ukiona mwanamke anakwambia hivo, Mwambie aliyeharibu usichana wako aliyekutoa bikra akakuacha mimi hata.

NB: Karibuni 5N mliman hapa kwa aliye karibu tunywe maji.
 
Na unaambiwa siku hizi bikra wanazitoa wao, kwa hiyo wao ndio wanajiharibia usichana wao.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…