Aliyekuwa Askofu KKKT, Dkt. Edward Mwaikali ahamia Kanisa la KKAM, ugomvi wa mali waibuka

KANISA NI MOJA TU TAKATIFU LA MITUME.
 
Wakirsto hawana uvumilivu tena, wanatimkia makanisa mengine.

Hapa mtaani kwetu kaja Mtumishi amezingua kidogo tu waumini karibia wote wametimukia makanisa mengine, bado mimi tu
 
Jamani hivi huyu Mwaikali amewahi kuwa Mwalimu?i mean lectural pale RUCO miaka fulani nikiwa nasoma pale nakumbuka kuona sura kama hii naomba mwenye kufahamu anijuze
Alikuwa Lecturer pale RUCO kabla ya kuingia ligi ya kuutaka Uaskofu.
Tatizo aliwakusanya wapambe wake ambao si waumini na wengine waswahili wa mjini Iringa na akapiga kampeni ya kutaka Uaskofu kwa kutumia FEDHA na kuhonga wengi na hatimaye akaupata Uaskofu.
Kama alivyoupata Uaskofu kwa FEDHA, na FEDHA hiyo hiyo imemfedhehesha na kumwondoa uaskofu.
Lakini yeye hili halioni kwa vile kuna vitu vimemziba masikio na macho ya rohoni.
 
Shoo Kaingiaje hapa?
Sijamtaja Shoo.
Nimekutaja wewe na hao wanaogombea kuondoka na jengo la kanisa.

Mungu hapiganiwi mwilini bali zama ktk roho utaona anavyopigana
 
Kanisa ni biashara utasikia toa ndugu toa ulicho nacho
 
Umehama Kanisa na kutangaza kujiunga na Kanisa jipya la KKAM, Sasa Kwa nini anabadili Kanisa la KKKT Ruanda kuwa Kanisa la KKAM?
Akili hana huyo Mwaikali

Alitakiwa tu.kuondoka zake na kukabidhi.mali zote za KKKT kwa amani
Huo ni ujambazi wa kupora mali za KKKT
 
Sijamtaja Shoo.
Nimekutaja wewe na hao wanaogombea kuondoka na jengo la kanisa.

Mungu hapiganiwi mwilini bali zama ktk roho utaona anavyopigana
Sorry Comment ilikuja hapo kwako kimakosa Mtu wa Rohoni.
 
paqwa nafikiri ingekuwa staa kama ungeandika kuwa amejiunga na kanisa la kirutheri la Africa Mashariki badala ya ulivyoripotia hapo juu Kanisa la kiinjili Africa mashariki
 
wakuu dini sasa imekuwa kama siasa?
 
Jengo la kanisa,vyombo vya mziki,viti na meza kama kuna mashamba.hivi vyote ni mali ya kanisa(taasisi) ukivuliwa uongozi,ukifukuzwa au wewe mwenyewe umeamua kuondoka hutakiwi kuchukua chochote
 
Umehama Kanisa na kutangaza kujiunga na Kanisa jipya la KKAM, Sasa Kwa nini anabadili Kanisa la KKKT Ruanda kuwa Kanisa la KKAM?
Uroho ma mali na madaraka umemziba ufahamu na hekima.
Yuko uchi lakini hajioni!
 
Na bado iko Siku atakutana na Moto yeye na Mwambola. Huwezi kupotosha watu kwa tamaa zako halafu Mungu akuache. Ameshindwa kwenda kutubu aendelee na maisha mengine apotosha Waumini anawapeleka East Africa Lutheran Church. Muda utasema.
Tatizo anataka kuhamisha kanisa alilo likuta, kanisa la ruanda nila zamani sana kama anataka akajenge la kwake na waumini wake wala hakuna wa kumsumbua si kunyang'anya kanisa alilo likuta nanlililo jengwa na waumini wasio wake, yani huyo hana akili kabisa ni sawa na mwenyekiti wa CCM leo atake kuondoka ccm kuhamia CHADEMA lakini anataka kuhama na jengo la ccm chamwino liwe na CHADEMA wakati kaja kalikuta hapo.
 
Hawa maasikofu ubwabwa wana shida sana yani, kwani lazima awe asikofu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…