Aliyekuwa Askofu KKKT, Dkt. Edward Mwaikali ahamia Kanisa la KKAM, ugomvi wa mali waibuka

Kanisa hasa linakuwaje takatifu wakati kuna mapadri na maaskofu wanaolawiti watoto wadogo hadi Papa akaomba msamaha

Utakatifu ni wa mtu binafsi
KANISA SIO MTU. Elewa. Ndio maana anayehukumu kanisa kwa makosa ya mtu mmoja mmoja tunamuona chizi tu.
 
[emoji23][emoji23] Daah! Hadi mabaunsa wanakodiwa kwenye mambo ya kiMungu!!!
 
Sio mbaya hata akienda tag Mungu ni huyo huyo itikodi tuu zimetofautiana tuu
 
Hao wote ni wasaka Tonge tu
Endeleeni kuwachangia sadaka

Ova
 
Jamani hivi huyu Mwaikali amewahi kuwa Mwalimu?i mean lectural pale RUCO miaka fulani nikiwa nasoma pale nakumbuka kuona sura kama hii naomba mwenye kufahamu anijuze
Uko sahihi kabisa ni huyuhuyu aliyekuwa RUCO aliacha kufundisha baada ya kurudi Konde na kuchaguliwa kuwa Askofu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…