Pre GE2025 Aliyekuwa Katibu wa mtandao wa wanafunzi wa CHADEMA (chaso) Elia Mlewa atimkia CCM, apokelewa na Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu Dar

Pre GE2025 Aliyekuwa Katibu wa mtandao wa wanafunzi wa CHADEMA (chaso) Elia Mlewa atimkia CCM, apokelewa na Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu Dar

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

upupu255

Senior Member
Joined
Sep 4, 2024
Posts
119
Reaction score
144
Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM Mkoa wa Dar Es salaam ndugu Ally Bananga akimpokea kada wa Chadema aliyehamia CCM

Ndugu Elia Benadin Mlewa alikuwa akihudumu nafasi ya katibu mtendaji wa Mtandao wa Wanafunzi Wa Vyuo Vikuu wa Chadema (CHASO) Mkoa wa Dar Es salaam pamoja na nafasi ya Katibu wa Jimbo la Ukonga

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ndugu Elia Benadin Mlewa ameamua kuchukua maamuzi hayo kutokana na kazi kubwa inayofanywa na Serikali ya CCM chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika nchi yetu hasa kwenye sekta ya Elimu nchini.



 
Siku wajinga watakapoelewa siasa ni sawa na biashara zingine watakuwa kwenye njia ya utambuzi
 
Back
Top Bottom