Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM Mkoa wa Dar Es salaam ndugu Ally Bananga akimpokea kada wa Chadema aliyehamia CCM
Ndugu Elia Benadin Mlewa alikuwa akihudumu nafasi ya katibu mtendaji wa Mtandao wa Wanafunzi Wa Vyuo Vikuu wa Chadema (CHASO) Mkoa wa Dar Es salaam pamoja na nafasi ya Katibu wa Jimbo la Ukonga
Ndugu Elia Benadin Mlewa ameamua kuchukua maamuzi hayo kutokana na kazi kubwa inayofanywa na Serikali ya CCM chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika nchi yetu hasa kwenye sekta ya Elimu nchini.