Aliyekuwa Kiongozi wa Mungiki Maina Njenga akamatwa

Kenyan

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2012
Posts
414
Reaction score
314
Kiongozi wa zamani wa kundi haramu la Mungiki Maina Njenga alikamatwa nyumbani kwake eneo Kiserian usiku wa kuamkia Alhamisi. Aidha kakake Njoroge Njenga pamoja na msaidizi wake Ole lekishe walitiwa nguvuni usiku uo huo.

Kwa mujibu wa Mwanasheria wake Ndegwa Njiru, haijabainika wazi kituo cha Polisi walichopelekea na wala juhudi za kutaka kufahamu hazijafua dafu.

Ikumbukwe miezi miwili iliyopita Njenga aliburuzwa mahakamani kwa kile kichotajwa kama kufadhili vitendo vya uhalifu lakini baadae Mahakama ikamwachia huru kutokana na ukosefu wa ushahidi-tosha.

MAINA-NJENGA.jpg
 
View attachment 2693963
So this is a Kenyan Yevgeny Prigozhin?
 
Back
Top Bottom