Aliyekuwa kocha wa Monaco, Thierry Henry atakuwa amejifunza

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
24,501
Reaction score
28,711
Wanasema mwanadamu hutakiwi kuwa kasuku kwenye maisha,sababu kasuku ni ndege mwenye maneno mengi lakini hawezi kuruka angani umbali mrefu.

Tai "Eagle" ni ndege asiye na maneno mengi lakini huruka mpaka kwenye mawingu.Kwenye medani ya soccer kuna kasuku wawili Gary Neville na Thiery Henry na hawa wote wawili ni wachambuzi wa mpira kupitia kituo cha television cha Sky Sport .

Thiery Henry ,alikuwa ndio mchambuzi wa soka aliyekuwa analipwa pesa nyingi kuliko wachambuzi wote duniani .Alikuwa akichukua kiasi cha £ 4.Million kwa mwaka akifuatiwa na Gary Neville ambaye anachukua 1.2 Million.

Thiery Henry,awapo ndani ya Sky Sport akiwa amevalia suti kutoka kwa mbunifu Hermes yenye thamani ya $3800,shati ya thamani ya $1325 na tai ya thamani ya $195 ,alitoa kasoro kwa makocha wote waliofanya vibaya.,alionekana ni bora kwa maneno na maono ya uchambuzi wake.

Alimsema sana Arsene Wenger ,kuwa ameishiwa mbinu,alikuwa fundi wa kuongea ,na kutoa kasoro makocha waliopoteza mech katika ligi ya EPL ,sababu alikuwa mchezaji bora mwenye kila kikombe cha mchezo wa soccer.

Makamu wa raisi wa club ya Fc Monaco ,Vadim Vasilyev,alipenda ubora wa Thiery Henry alivyokuwa kuwa mchezaji ,kisha alipenda alivyochambua mpira,maono yake na kutoa tathmini maridhawa ya soccer.

11 October 2018 ,Thiery alikabidhiwa timu ya Monaco ,amefundisha Monaco mechi 20,kashinda mechi 4,katoka sale mechi 5 na kufungwa mechi11 na sasa amefukuzwa kazi,yale maono,zile kauli hazikufanya kazi aliishiwa kuwaita wachezaji wake '' Grandmother Whore''

Monaco kaondoka kwa aibu ila heshima anayo London katika kiwanja cha Emirates kwa kujengewa sanamu ya shaba nyeusi kwa heshima ya kuwa mfungaji bora wa muda wote wa club ya Arsenal.

17 February ,Thiery Henry ,alisain mkataba na club ya New York Red Bulls kwa kulipwa mshahara wa $5.6 Million ,na kumfanya kuwa mchezaji anayelipwa pesa kubwa kuliko wachezaji wote wa Major League Soccer ,alimpita mpaka David Beckham.

Wakati kazi ya ukocha imemshinda Thiery Henry ,pasi na shaka atarudi kwenye kazi ya uchambuzi wa mpira na kituo cha television cha Sky Sport.

Si kila kitu ni kizuri lakini kila Siku kuna kitu kizuri ,Thiery Henry Nothing Last Forever.Parfois vous gagnez,parfois vous perdez.#14KingHenry.

IMG-20190125-WA0019.jpeg
 
Tatizo pia liko Monaco sio Henry pekee
 
huu ni wakati wa kuwaheshimu wakina wenger na mourinho!.. kwa mishale waliyokwepa!.. Henry Neville na scholes.. Hawa walidhani kucheza na kufundisha kunafanana!.. hawajui kuwa mourinho alistaafu mpira wa kucheza ana miaka 23!..
Neville alikaribia kuishusha team daraja huko la liga!.. na Henry yamemkuta bado scholes!.. why Henry asingemuuliza zidane kwanini kaikimbia team kubwa kama Madrid mapema namna ile??..
nao Monaco wapunguze sera ya kuuza wachezaji huku huna mbadala wake!.. niliwaona wajinga sana kuwauzia psg mbape!.. ni bora wangemuuza mbali kama kina fabinho... acha wapate tabu..
narudia. mpira wa kucheza na kufundisha ni tofauti kabisa..

usitukane mamba kabla hujavuka mto
 
Wanasema mwanadamu hutakiwi kuwa kasuku kwenye maisha,sababu kasuku ni ndege mwenye maneno mengi lakini hawezi kuruka angani umbali mrefu.

Tai "Eagle" ni ndege asiye na maneno mengi lakini huruka mpaka kwenye mawingu.Kwenye medani ya soccer kuna kasuku wawili Gary Neville na Thiery Henry na hawa wote wawili ni wachambuzi wa mpira kupitia kituo cha television cha Sky Sport .

Thiery Henry ,alikuwa ndio mchambuzi wa soka aliyekuwa analipwa pesa nyingi kuliko wachambuzi wote duniani .Alikuwa akichukua kiasi cha £ 4.Million kwa mwaka akifuatiwa na Gary Neville ambaye anachukua 1.2 Million.

Thiery Henry,awapo ndani ya Sky Sport akiwa amevalia suti kutoka kwa mbunifu Hermes yenye thamani ya $3800,shati ya thamani ya $1325 na tai ya thamani ya $195 ,alitoa kasoro kwa makocha wote waliofanya vibaya.,alionekana ni bora kwa maneno na maono ya uchambuzi wake.

Alimsema sana Arsene Wenger ,kuwa ameishiwa mbinu,alikuwa fundi wa kuongea ,na kutoa kasoro makocha waliopoteza mech katika ligi ya EPL ,sababu alikuwa mchezaji bora mwenye kila kikombe cha mchezo wa soccer.

Makamu wa raisi wa club ya Fc Monaco ,Vadim Vasilyev,alipenda ubora wa Thiery Henry alivyokuwa kuwa mchezaji ,kisha alipenda alivyochambua mpira,maono yake na kutoa tathmini maridhawa ya soccer.

11 October 2018 ,Thiery alikabidhiwa timu ya Monaco ,amefundisha Monaco mechi 20,kashinda mechi 4,katoka sale mechi 5 na kufungwa mechi11 na sasa amefukuzwa kazi,yale maono,zile kauli hazikufanya kazi aliishiwa kuwaita wachezaji wake '' Grandmother Whore''

Monaco kaondoka kwa aibu ila heshima anayo London katika kiwanja cha Emirates kwa kujengewa sanamu ya shaba nyeusi kwa heshima ya kuwa mfungaji bora wa muda wote wa club ya Arsenal.

17 February ,Thiery Henry ,alisain mkataba na club ya New York Red Bulls kwa kulipwa mshahara wa $5.6 Million ,na kumfanya kuwa mchezaji anayelipwa pesa kubwa kuliko wachezaji wote wa Major League Soccer ,alimpita mpaka David Beckham.

Wakati kazi ya ukocha imemshinda Thiery Henry ,pasi na shaka atarudi kwenye kazi ya uchambuzi wa mpira na kituo cha television cha Sky Sport.

Si kila kitu ni kizuri lakini kila Siku kuna kitu kizuri ,Thiery Henry Nothing Last Forever.Parfois vous gagnez,parfois vous perdez.#14KingHenry.View attachment 1004185

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole zake, huwezi kuwa mzuri kwa kila jambo
 
Karma kitu kibaya sana, Henry alikuwa akimkosoa sana mzee Wenger mbaya zaidi alishindwa hata kwenda kuhudhuria sherehe ya kumuaga pale emirates badala yake akawa anashangilia ushindi na city. Ni mzee Arsene Wenger aliyempika Henry na kumueka juu ya kilele cha mafanikio ya mpira lakini ameshindwa kumpa heshima yake mzee Wenger so acheni karma imtafune tu.

Aliniudh anavyoenda monaco akaulizwa ,utafundisha mpira kwa kutumia mbinu zipi

Akajibu atafundisha kwa falsafa za gardiola ,

Akasahau hata kutoa credit kwa wenger

Wakat gardiola Mwenyewe anakwambia ,alikaa chini akaifatiliia arsenal ya 2004 akachukua mbinu za wenger akachanganya na falsafa za johan cryff akaipata TIK TAK

Henry alianza kumdharau wenger kisa wenger alimtimua pale arsenal timu ya vijana ,

Maana huku yupo sky sport kesho yupo arsenal

Halafu akifika sky anawaponda arsenal

Akaambiwa chagua kubaki arsenal timu ya vijana au sky, akabak sky ila akawa na kinyongo,

Mbaya zaid siku ya kumuaga wenger hakuja akaenda city kwa gardiola

LAANA ZA WENGER ZITAMTAFUNA, hawez kurud tena kwenye ukocha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwangu th14 sihasabii kama amefeli nitakuwa muongo mchawi wa Monaco Ni Monaco wenyewe, hivi mnauzaje wachezaji wa kikosi cha kwanza karibia 7 mnataka maajabu gani kwa kweli..
1.mendy
2.fabinho
3.bakayoko
4.moutinho
5.silva
6.lemar
7.mbappe

Happy unategemea nini, nadhani Henry kilichomponza ni kauli chafu aliyotoa katika game waliyokufa 5.. ila zaidi ya hapo nilikuwa naimani na th14 pamoja na kuwa mkiani bado alifanikiwa kumshawishi cesc fabregas, na bado Monaco wangepata wachezaji wengi wa kuwanusuru katika kipindi hiki cha mpito.

Ni mtazamo tuu

ndo maana nkasema katimu ka arsenal kadogo ila kanapenda sana sympathy...Swala la henry kama mchambuzi alikua anafanya kazi yake kama mwalim kashasha huwezi mlaumu,Huyo Arsene Wenger ilifikia kipindi hata mashabiki wenyewe mlimchoka sasa mnataka jifanya kama lilikua kosa la thiery..So henry kukosea Monaco ni swala la kawaida mbona Morihno na uspecial one wake...GGMU
 
Back
Top Bottom