Aliyekuwa kocha wa Simba ajiunga na Far Rabat

Mlikua mnavizia kumtimua nyinyi....... Hakuna team ambayo inaweza kumwacha Kocha aliyeipeleka team Makundi Africa.
Narudia tena,Huyo hamalizi mkataba na FAR Rabat hana Tactical za kutoboa kwa mpira wa Kaskazini mwa Africa
 
Kumbe ulikuwa unampenda kocha? Afu naona utopolo ndani yako, kamalizie kusoma kitabu cha kihispania , ukifatilia mambo ya timu iliyo mbali zaidi ya timu yako utapata presha
Gabachori lina matatizo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…