Aliyekuwa kocha wa Simba ajiunga na Far Rabat

Atafukuzwa kazi mapema sana huko Morocco hakuna Ihefu FC wala Mwadui FC.

Huko kuna Wydad Casablanca ya kina Msuva.
 
Simba inabebwa na kina Chama, Miq, Kagere, sio huyo mbelgiji aliekuja Simba hajui chochote.

Narudia tena, Chama ni muhimu Simba kuliko huyo mbelgiji.
 
Kocha gani hana mbinu, Maisha ya timu za Kariakoo Ushindi 60% unatokana na mifumo thabiti iliyopo ndani ya timu hizo, huko kwingine wanakoenda unasimama kama MANAGER kweli kweli, huyu Kishingo akimaliza msimu akatambike.
 
Safi kabisa na aliondoka Simba kwa matatizo ya kifamilia.
Hapo ndipo msemo wa kiswahili usemao " Ukiona Cha nini, wenzio wanawaza watakipata lini" Haya group stages kawafikisha, Sasa kazi kwenu, either mtusue ili mmprove wrong huyo kocha, au mpigwe mauno na wanaume mkizungusha kiuno Kama Feni bovi.
 
Halafu Mo alikataa eti hawajashindwa kumpa ofa Nono.

Mo bhana [emoji1]
 
Maxima wanaamini hata huko atakapokwenda atakuwa fired
 
Yani Figisu za Wamoroko kumuiba Kocha pia unamtupia MO, kila kitu kwako ni MO! ninauhakika siku utakayomkuta Mke wako ananyanduliwa kitaa pia utasema Figisu za MO.
kipindi alichokaa kishingo makocha wangapi wa utopolo wamepita?haya majaamaa ingekuwa ndo kalinyo yuko simba na makanjanja yao kina kitenge redioni tusingekaa ila suala la kalinyo yamekausha kama hayapo au sarpong haya majamaa ni sifuri kabisa
 
Aliyekuwa kocha wa timu ya Simba ya Tanzania Sven Vandenbroeck amejiunga na timu ya Far Rabat ya nchini Morocco

Sasa Mudi mbona anatudanganya kwamba ni issue za kifamilia kumbe amepata kandarasi ya 2 yrs morocco.
 
Yanga a.k.a Utelembwe Yana taabu,ngumu kushindana na mnyama
 
Yani Figisu za Wamoroko kumuiba Kocha pia unamtupia MO, kila kitu kwako ni MO! ninauhakika siku utakayomkuta Mke wako ananyanduliwa kitaa pia utasema Figisu za MO.
Why umepaniki? Mimi ni mwana simba. Na namkubali Mo.

Nenda kaangalie nani alianzisha uzi wa simba sport club miaka tele ya nyuma.
Nadhani ulikuwa chekechea bado
 
Sasa Mudi mbona anatudanganya kwamba ni issue za kifamilia kumbe amepata kandarasi ya 2 yrs morocco.
Wewe ndio hujaelewa, hujasoma ujumbe wa mo au umehadithiwa. Ameondoka kwa ajili ya proximity na kwao hicho ndicho alikisema mo! Kama unajua umbali kati ya Morocco na Belgium au usafiri kati ya nchi hizo mbili usingeandika huo ugolo.
 
Sio kuelewa ingekuwa issue za kifamilia asingesaini kwanza chap chap morocco,angeenda kusolve kwanza issu za kifamilia,kitendo cha kupata mchongo timu nyingine ni wazi amewakimbia,justification huwa hazikosi,hata mie nikiacha kazi sehemu lazima niweke sababu za uongo uongo!

Dunia ni kijiji hakuna sehemu ya mbali,hata angeendelea kufanya kazi na SIMBA siku ikitokea tatizo fasta anadaka MWEWE anaenda zake Ubelgiji....Kama issue ni umbali basi angefanya kazi nchini mwao na sio morocco!
 
Reactions: tyc
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…