Aliyekuwa kocha wa viungo wa Simba Adel na APR Zrane amefariki

Aliyekuwa kocha wa viungo wa Simba Adel na APR Zrane amefariki

vvvv

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2018
Posts
406
Reaction score
717
Taarifa kamili kutoka club ya APR imeeleza kwamba aliyekuwa kocha wao wa viungo Adel Zrane amefariki dunia,taarifa halisi haijaeleza nini chanzo cha kifo hicho
 

Attachments

  • 20240402_155217.jpg
    20240402_155217.jpg
    39.9 KB · Views: 3
  • 20240402_155208.jpg
    20240402_155208.jpg
    280.9 KB · Views: 4
yani kama JF ingekuwa inalipa viewer kwa staili hii ya kupost haraka tungepata mirabahaa
 
Mwenyezi Mungu ampokee amuweke mahala anapostahili apumzike kwa amani
 
Alale pema peponi...

Akawaandalie Simba makao huko!.... Tr5 watakuwa na Simba Sc Club mahala pema kuzimu!
 
Back
Top Bottom