Aliyekuwa Makamu Rais Malawi kuzikwa Juni 17, 2024

Aliyekuwa Makamu Rais Malawi kuzikwa Juni 17, 2024

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,358
Reaction score
10,976
Mazishi ya aliyekua Makamu wa Rais Malawi Dr Saulos Chilima yatafanyika Jumatatu tarehe 17.06.2024 kijijini kwake katika wilaya ya Ntcheu yapata kilomita 175 toka Lilongwe.

NB: Majirani tukafariji ndugu zetu MALAWI. Udugu kufaana si kufanana
 
Aende na helicopter,atupunguzie mzigo WA safari.
Mama anasafiri na Boeing mpya kabisa na siyo hii mikweche mizee ya jeshi inayoua viongozi wetu kila kukicha 🙏🏿. Mungu Amlinde 🙏🏿

IMG-20240611-WA0103.jpg
IMG-20240611-WA0106.jpg
IMG-20240611-WA0105.jpg
 
Back
Top Bottom