Kwenye kipindi cha One on One Ally Mohamed Keissy aliyekua Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini (2010 - 2020), ametoa mtazamo wake kuhusu masuala mbalimbali ikiwemo mvutano wa sheria mpya ya ndoa.
Kessy anasema kuwa yeye anaamini kwamba mtoto wa kike akishavunja ungo tu anaweza kuolewa yaani hata akiwa na miaka 14 au 15 tu anafaa kuingia kwenye ndoa.
Keissy anasema kwamba hata yeye alimuoa mkewe ambaye kwa wakati huo alikuwa na miaka 15.
Nitashangaa huyu mpuuzi akirudi tena 2025 kama mbunge, tuna uhalalisha upedophile kwa visingizio vya dini utafikiri hatuna akili ya kupembanua vitu na kuona hiki kinafaa ama lah.
===
"Mimi kama muislamu, Uislamu unasema mwanamke akishavunja ungo anaweza kuolewa. Mimi kama muslamu naamini kwamba miaka 14, 15 mwanamke anafaa kuolewa. Mi mwenyewe nimemuoa mke wangu akiwa na miaka 15"

Hawa tatizo wanatizama nyama wanazokuwa nazo watoto wa miaka 15 , anaona kabisa anafaa kuwekewa muhoga ..
Ila hawaangaliii akili za ndoa..
Yaani akili yao inawaza kuwa wanaweza ngono hawawazi hata upevushi wa akili za huyo mtoto kuhusu ndoa
Ndoa sio hayo ma ngono wanayowaza ndoa ni maisha lazima mtu akili iwe imekomaaa
Kwenye kipindi cha One on One Ally Mohamed Keissy aliyekua Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini (2010 - 2020), ametoa mtazamo wake kuhusu masuala mbalimbali ikiwemo mvutano wa sheria mpya ya ndoa.
Kessy anasema kuwa yeye anaamini kwamba mtoto wa kike akishavunja ungo tu anaweza kuolewa yaani hata akiwa na miaka 14 au 15 tu anafaa kuingia kwenye ndoa
Hawa ndio watu ambao CCM inaona wenye akili ya kutosha kujadili sheria za nchi yetu.
Kimsingi Kessy anatuambia, kama yeye alishawahi kula kinyesi cha nguruwe huko nyuma, kuna tatizo gani Tanzania kuhalalisha ulaji wa kinyesi cha nguruwe kwa kila Mtanzania?
Mtumieni ujumbe huu ili afikiri undani wa alichosema
Kwenye kipindi cha One on One Ally Mohamed Keissy aliyekua Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini (2010 - 2020), ametoa mtazamo wake kuhusu masuala mbalimbali ikiwemo mvutano wa sheria mpya ya ndoa.
Kessy anasema kuwa yeye anaamini kwamba mtoto wa kike akishavunja ungo tu anaweza kuolewa yaani hata akiwa na miaka 14 au 15 tu anafaa kuingia kwenye ndoa.
Keissy anasema kwamba hata yeye alimuoa mkewe ambaye kwa wakati huo alikuwa na miaka 15.
Nitashangaa huyu mpuuzi akirudi tena 2025 kama mbunge, tuna uhalalisha upedophile kwa visingizio vya dini utafikiri hatuna akili ya kupembanua vitu na kuona hiki kinafaa ama lah.
===
"Mimi kama muislamu, Uislamu unasema mwanamke akishavunja ungo anaweza kuolewa. Mimi kama muslamu naamini kwamba miaka 14, 15 mwanamke anafaa kuolewa. Mi mwenyewe nimemuoa mke wangu akiwa na miaka 15"
Yeye aseme mabinti wa kiislam mwisho kusoma ni std 7, halafu waolewe ndivyo sheria ya dini ya kiislam. Hiyo ndo elimu ya juu anayoweza kupata binti wa umri huo.
Kwenye kipindi cha One on One Ally Mohamed Keissy aliyekua Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini (2010 - 2020), ametoa mtazamo wake kuhusu masuala mbalimbali ikiwemo mvutano wa sheria mpya ya ndoa.
Kessy anasema kuwa yeye anaamini kwamba mtoto wa kike akishavunja ungo tu anaweza kuolewa yaani hata akiwa na miaka 14 au 15 tu anafaa kuingia kwenye ndoa.
Keissy anasema kwamba hata yeye alimuoa mkewe ambaye kwa wakati huo alikuwa na miaka 15.
Nitashangaa huyu mpuuzi akirudi tena 2025 kama mbunge, tuna uhalalisha upedophile kwa visingizio vya dini utafikiri hatuna akili ya kupembanua vitu na kuona hiki kinafaa ama lah.
===
"Mimi kama muislamu, Uislamu unasema mwanamke akishavunja ungo anaweza kuolewa. Mimi kama muslamu naamini kwamba miaka 14, 15 mwanamke anafaa kuolewa. Mi mwenyewe nimemuoa mke wangu akiwa na miaka 15"
ametaja miaka hiyo strategically akijua kisheria inaruhusiwa kama wazazi wameruhusu. though angesema tu kuwa kwenye uislam akivunja ungo tu ruksa kumwingilia kingono, mtume si alioa miaka 6 akasubiri afike 9 ndio akammwingilia? aibu hii.