Pre GE2025 Aliyekuwa Mbunge, Keissy: Msichana wa miaka 14/15 anafaa kuolewa. Nilioa wangu akiwa na miaka 15. Hiyo ndio sheria ya Uislamu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
ametaja miaka hiyo strategically akijua kisheria inaruhusiwa kama wazazi wameruhusu. though angesema tu kuwa kwenye uislam akivunja ungo tu ruksa kumwingilia kingono, mtume si alioa miaka 6 akasubiri afike 9 ndio akammwingilia? aibu hii.
Mama ake Yesu aliposwa akiwa na umri Gani na Joseph akiwa na miaka 88?
 
Ndoa sio hayo ma ngono wanayowaza ndoa ni maisha lazima mtu akili iwe imekomaaa
Watoto wa siku hizi hiyo akili yenyewe kukomaza hawana, wanakomaza fuvu tu.
 
La da tukuuliwe

Labda tukuulize ulibikiriwa ukiwa na umri gani? Kama ni miaka 13 basi ndiyo siku uliyotakiwa kuolewa
 
Watoto wa siku hizi hiyo akili yenyewe kukomaza hawana, wanakomaza fuvu tu.
Sasa unataka uowe mwanamke aliyekomaa ambaye ameshapitiwa na wanaume 100? maana kabikiriwa na miaka 13 unaowa akiwa na 30 hapo kati hiyo miaka 17 alikuwa anafanya nini?
 
Yeye amewahi kuoza Binti yake wa umri huo? Hii mizee minafiki inasomesha watoto wao halafu inakuja kudaganyq wajinga huku.
 
Kwahiyo kama ilifanyika miaka ya 70 basi sasa itakuwa sawa kufanyika? Pamoja na elimu aliyopata ameshindwa kuelimika na kubadilika, amebaki kule kule kwenye enzi za ujimba. Kama muwakilishi wa wananchi unaweza kuimagine ni ujinga gani mwingine amefanya ambao haujawekwa wazi? Kuna haja ya vigezo vya kuwa mbunge viongezwe, kusoma na kuandika haitoshi.
 
Huyo mbunge ni mfano mbaya
 
Basi sio mbaya mimi nimuoe mtoto wake mpendwa na kama kashavuka hiyo 18 nimuoe mjukuu wake kwenye hiyo hiyo 14 miaka kama yuko tayari
 
Hii ndo hekima. Nanunkuu: "Ndoa sio hayo mangono wanayowaza ndoa ni maisha lazima mtu akili iwe imekomaaa"
Dini mara nyingi hu-disrupt Jamii katika Desturi na Tamaduni zao.
Dini inatabia ya ku-disintegrate familia na koo za watu mahalia
Dini zina siri nyingi sana ambazo waliomo ndani ya Imani hiyo hawazijui na wala hawaambiwi
Dini inalemaza akili ya kufikiri (inapumbaza/inalevya) na kuteka uwezo wa kufikiri na mara nyingi humwezesha aliye katika iman hiyo kutoa majibu rahisi kwa maswali magumu e.g. "hilo namwachia Mungu", "hiyo ni kazi ya Mungu", "Imeandikwa usi.... usi....." n.k.
Dini inamwelekeo na Taratibu zinazolinda maslahi ya viongozi wake. e.g. Katoliki kuna Roma locuta causa finita
 
Kwa sbb mimi muislamu....
Wapumbavu wengi wanajificha kwenye kichaka Cha uislamu!!
 
Pedo ...
 
Nasikiliza Ngoma ya msanii wangu wa muda wote 20 percent-Naficha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…