Uchaguzi 2020 Aliyekuwa Mbunge Viti Maalum CHADEMA, Sabreena Sungura Atia nia kugombea ubunge jimbo la Segerea kupitia Chama Cha Wananchi CUF

CUF Habari

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2019
Posts
239
Reaction score
234
Mhe. Sabreena Sungura Atia Nia Kugombea Ubunge Jimbo la Segerea Wilaya ya Ilala Mkoani Dar es Salaam Kupitia Chama Cha Wananchi CUF.

Sabreena Sungura Mwanamama Jasiri Na Mpambanaji.

Sabree.jpg

#2020WanawakeTunawaaminia.
 
Kwani hayo macuf bado yapo, huyo mama hata akigombea uenyekiti wa mtaa hawezi kupata.
... mapandikizi hayo Mkuu; lengo ni kuvuruga "tukose wote".
 
Mhe. Sabreena Sungura Atia Nia Kugombea Ubunge Jimbo la Segerea Wilaya ya Ilala Mkoani Dar es Salaam Kupitia Chama Cha Wananchi CUF.

Sabreena Sungura Mwanamama Jasiri Na Mpambanaji.

#2020WanawakeTunawaaminia.
Naona kwa hiari yake kaamua kujiunga na loser wenzake
 
Back
Top Bottom