Pre GE2025 Aliyekuwa Mbunge wa CCM Mbarali afunguka mazito "Wamenipiga fitina nzito"

Pre GE2025 Aliyekuwa Mbunge wa CCM Mbarali afunguka mazito "Wamenipiga fitina nzito"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
27 July 2024
Ubaruku, Mbarali
Tanzania
Mbunge : Chama dola kongwe kina michezo michafu ndani ya CCM , awekwa bayana ....


Modestus Dickson Kilufi fomu za ugombea ubunge ziliporwa na mgombea asiyejulikana...

Modestus D. Kilufi asema CCM haipendi mtu msemakweli na aliyemchapa kazi na aina hiyo ya viongozi, CCM ina desturi yake huwa hawampendi kiongozi wa kaliba hiyo ... hawachelewi kukata jina ...

Mkurugezi wa Halmashauri Mbarali asema bwana Modestus Kilufi siwezi kukupa fomu ya ugombea ubunge hadi fomu iliyoporwa irudi tubadilishe.

Maneno ya Nape Nnauye juzi yameakisi yale aliyomkumba Modestus Kilufi uchaguzi wa 2015.

Baada ya hapo CCM ikaenda mbali .... kuvuruga uchaguzi, kutumia vikosi vya kuzuia ghasi maarufu FFU kulazimisha mtu wanayemtaka hata kama wanaona umati mkubwa unaoonesha mgombea asiyetakiwa na CCM akisindikizwa na umma mkubwa kwa kuwa wanamkubali ... anasema Modestus D. Kilufi
 
Back
Top Bottom