Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kuna yule mwaka ule walituambia ametoka Kenya akaenda kuomba toba kwa Mchg Rwakatale aliishia wapi, nchi hii usanii haukomiAliyekuwa mhalifu wa matukio ya wizi wa pikipiki mkoani Njombe ameamua kuachana na uhalifu na kumrudia Mungu baada ya kupata maono akiwa gerezani.
Baada ya kuokoka, Jeshi la Polisi mkoani humo limemkabidhi spika aliyoomba ili aitumie kueneza Neno la Mungu na kuwahamasisha wahalifu wengine kubadilika.
Polisi aliomba msaada kwa wadau ndipo Mbunge wa Ludewa, Joseph Kamonga akatoa Spika hiyo
View attachment 3285119