Tetesi: Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu akamatwa na TAKUKURU

Status
Not open for further replies.
Mpaka sasa hakuna fisadi aliyefungwa
My take,utaambiwa DPP hana sababu ya kuendelea na kesi
 
Tatizo lilibakia kuubwa sana sasa ni watoa hukumu wetu. Ifike mahali sheria itungwe ili kuwachunguza watoa hukumu wetu kwa kesi zilizo wazi. Anayeonekana kutoa maamuzi ya ovyo achunguzwe ama akawe wakili wa kujitegemea. Hao ni kikwazo kikubwa mno.
 
Siwezi kuwa mpongezaji kwenye haya kwasababu ya dosari moja tu kuwa na double standard kushuhulika na wahujumu uchumi na wala rushwa hilo tu kwangu limepunguza % nying za kuamini harakati hizi na kunifanya nimuone kama ni mtu anae pambana na watu anao hisi hawako upande wake au si chaguo lake hakuna dhamira ya dhati kabisa toka ndan ya moyo wake kutokomeza rushwa zaid kupambana na wasio wake .

hii ni nje ya unafiki na kujipendekeza kwa mtu.
 
Pascal Mayalla anapona kweli? Maana Kibonde sasa ni dhahiri magonjwa nyemelezi yanaweza kufumuka kwa mpigo. Visukari, 'pulesha' fungus (mabaranga)
Just kidding!!

'Akitumaliza wapinzani anahamia kwenu' ==Tundu Lissu

Magonjwa nyemelezi ya Kibonde yanahusiana vipi na mada hii...!!?

Usikashifu maladhi ya mtu kwani kati yetu hakuna aliye salama....hujafa hujaumbika.....

Siasa isiitawale akili yako mpaka ukakosa hekima......
 
Siijui elimu ya huyu bint na mwiita bint kwa kuwa hana mpango wa kuzaa alisha haribu kwa mungu,huyu mtu wala cjui cdm huwa inatafuta nn skujua faida yake lkn walimpokea kwa mbwembwe nyingi sjui hawakujua au hawajui tabia ya malaya?kawaida ya malaya hana shukrani wala aksante ukimaliza kumfanya ukamlipa anavaa haraka na kutoka hapo hakuna aksante ukimaliza kuvaa wakati unatoka unaweza kutana nae anakidume mwingine anamleta chumbani humo gest tena kama ulilipa kulala kwakuwa ww unaondoka anaweza kumuingiza mlemle ulimomfanyia sasa ndo wema huyo bashite alitaka afungwe na samana alishinikiza asipewe cdm wakasmama kupitia mawakili wao wabobezi na hatimae dhanama kupatikana na kesi muelekeo ikawa ni ushindi sjui hawakujua wanahangaika na malaya!!au hawakujua wanahangaika na mvuta bangi na madawa ya kulevya?lkn pia kisaikorojia mwanamke akianza kufanya mapenzi na watu wazma ktk umri mdogo akili huharibika kwakuwa kukutana na mchanganyiko wa manii za wazee ,vijana na hata wanyama huo ni uhakika,mfn hata hawa j wolpe,lulu,jigimoney na yule mnasrma ananuka na huyu wema iko shida kubwa akili c zao nazani cdm hawakulijua hilo lkn pia sjui faida yake ilikuwa nn,ok hiyo ndo shukrani ya punda ss tusonge mbele.
 


Uchina ni super power hakuna huo ujinga wote uliokutaja!
 
Bashite inabidi ajifunze kitu hapa, sizonje anaweza kukugeuka muda wowote ILi apate kiki. Bashite is not safe like he thinks he is. Mzee kipara ndumi la kuwili anang'ata na kupuliza
Safe from what?
 
Assuming he is as guilty as people have been saying here since the days of "Game Theory" and Luhanjo. Then the question begs to be asked.

What took them so long?
 
Mpaka sasa hakuna fisadi aliyefungwa
My take,utaambiwa DPP hana sababu ya kuendelea na kesi
Unapoambiwa DDP hana sababu ya kuendelea na kesi jua kuna mambo mengi yamefanyuka nyuma ya pazia, lakini tuwe wakweli kwa utawala wa mzee wa msoga, ni nani aliyekuwa kwenye nafasi hakupiga?
 
Tatizo lako unashangilia watu wawe na hali ya umaskini kama ulivyo ww,pole sana jitahd kutafuta na uwaombee walionazo waendelee kuwa nazo ili kuna siku na wwutapitia hapo.
 
Duhhhh!! Alisifiwa last week. Week hii liminda. Kama prof. Muhongo!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…