Uchaguzi 2020 Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Kimei achukua fomu ya kutia nia jimbo la Vunjo kupitia CCM

Me nataka uniwekee hizo V12 ambayo huyo CEO wako anatumia..unazunguka Sana mzee kujitapatapa huku wanakutombea mkeo tu
 
Yes wanapata zaidi ya hiyo kama ukiweka michanganuo vizuri,si uliona sugu alikopa CRDB na kufanikisha kujenga hotel ,si uliona Ndugai alitaja Mkopo wa lema bungeni? Kwahiyo kuna fursa ya kukopa hata zaidi ya 1b.
dah maninah walahi! ndio mana mimate inawatoka wagombea wapya wanazitamani hizo mbesa

Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
 
Google
Kwa nini bonus tusiziweke? Kwani hizo bonus hapokei?
Muriuki kwa mwaka mshahara wake ni tsh bilioni2.3+ ukigawanya hapo utapata kila mwezi ni zaidi ya m200
 
Me nataka uniwekee hizo V12 ambayo huyo CEO wako anatumia..unazunguka Sana mzee kujitapatapa huku wanakutombea mkeo tu
Google utapata , bora mie anambwato mke wangu kuliko wewe wanakumbato MASELA.
 
Google

Kwa nini bonus tusiziweke? Kwani hizo bonus hapokei?
Muriuki kwa mwaka mshahara wake ni tsh bilioni2.3+ ukigawanya hapo utapata kila mwezi ni zaidi ya m200
Sasa ndio mil 500 hizo?
 
Sasa ndio mil 500 hizo?
Huo ni mshahara, ukijumlisha vyote ndo utapata zaidi ya 650+M za Tanzania,
Bonus na benefits lazima zihesabiwe kwa sababu hayo malipo yanaingia mfukoni kwake na sio mfukoni kwa mwingine.
Crdb faida ya mwaka haifiki hata bilioni200 uje ufananishe na kcb au copbank of Kenya.
 
Mimi nazungumzia mshahara ,halafu usiangalie mapato ya kampuni na mishahara ya watu,kuna kampuni zinamapato madogo lakini faida yote wanaigawa kwa wafanyakazi kama salary kuna kampuni zina mapato makubwa lakini wafanyakazi wanapewa peanut tu ya mapato....Kwahiyo inawezekana pia MD wa CRBD akachukua fedha ndefu kuliko MD wa KCB.
 
Mbatia huko alipo atakuwa anaumia sana. Hapa Kimei atapata asubuhi na mapema. Iam sure CCM watampitisha. Maana kura za maoni hilo halina shaka kishashinda.
Hiyo ni janja tu. Jimbo ametengewa Mbatia na JPM. Kimei atashindwa ili kuonesha kuwa kulikuwa na demokrasia.
 
Hamzidi waziri ww hata katibu mkuu hamfikii
MaCEO wa kenya sawa sio MaCEO WA BONGO
Kwa benki Kama CRDB, Kimei Ni zaidi ya Waziri, kwa Nini?Waziri Ni cheo Cha kisiasa
Ambacho lazima ulambe makalio ya Boss wako ambaye anaweza kukufukuza muda wowote, fitina na kusalitiana vipo Sana kwenye siasa

Mshahara wa Waziri Nadhani mdogo kuliko wa MD wa CRDB,
waziri yupo limited kwenye 5 years wakati MD Ni performance yake tu ndio itaongea

kwa kifupi kazi ya Ukurugenzi wa CRDB kwa Kimei ilikuwa Ni secure zaidi, inalipa zaidi, kuliko ya Uwaziri
 
Mkuu umeongea ukweli Mpunga wa MD/CEO wa CRDB ni zaidi ya Mbunge/Waziri ,Kama ni power unaweza ukawa na power nje ya siasa ,Bakhresa ana power sana lakini hajui hata siasa kitu gani na hajawai kusema hata CCM Oyeeee!!
 
Mkuu umeongea ukweli Mpunga wa MD/CEO wa CRDB ni zaidi ya Mbunge/Waziri ,Kama ni power unaweza ukawa na power nje ya siasa ,Bakhresa ana power sana lakini hajui hata siasa kitu gani na hajawai kusema hata CCM Oyeeee!!
Tanzania mwenye real power Ni Rais tu, Waziri unaweza kuondolewa muda wowote kwa mistake ndogo na matusi juu,
mtu aache kazi Kama MD wa CRDB aje kufanya kazi isiyo na guarantee huku akitukanwa hadharani na Magufuli?
 
Sasa 45M waziri hawezi kuipata? Magumashi ya wizara yote anayajua,
Kenya ndio kuna maCEO wanalipwa hadi milioni500(kila kitu) kwa mwezi.
Rais analipwa million 9, Sasa unadhani Rais amlipe Waziri hela nyingi Mara 5 kuliko anayopokea yeye?
Hivi haukumbuki Magufuli alipoingia madarakani alifyeka mishahara ya wakurugenzi wote was madhirika ya umma?
 
Nadhani atakuwa kapewa guarantee ya kushinda na Magufuli, kuanzia kura za maoni Hadi uchaguzi Mkuu, kumbuka chaguzi za Tanzania siku hizi zinavyokuwa, Rais kupitia Kamati za CCM, Wakurugenzi, na Polisi ndioa anaamua Nani awe Mbunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…