Hapa ndo Mbatia atagundua yule jamaa alimdanganya kuwa NCCR itakuwa chama kikuu cha upinzani!
Madudu yapi?na kwa nini iwe sasa?Huu ndio mwisho wa heshima ya Bwana Kimei.
Siasa ni chafu, na madudu yake sasa hadharani.
Ukisha ingia public areana tu, madudu hata ya kutunga yanaibuliwa.Madudu yapi?na kwa nini iwe sasa?
Ninamaanisha Melerani eneo lote liliozunguswa ukuta.Kwani mgodi mzima wa tanzanite una thamani kiasi gani?
Safari hii akichukua jiwe anamkataThubutuuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mama Tanzania itakua Mama Vunjo.
Kwani Mo au Rostam walivyoenda kugombea ubunge walikua wanakimbiza 12mCEO/MD alikuwa anachezea Mabilioni ya Shilling na Dollar leo anaenda kukimbizana na Tsh 12m per month.
Huo mkopo wa 800m+ alikuwa na uwezo wa kuupata pale CRDB!!
Hii ni nadharia yako tu, suala la nani ni mzito ama ni mwepesi ni la kinadharia....ni sawa na kudhani kuna binadamu wa daraja la kwanza na wa daraja la mwisho huku ukijitoa ufahamu kwamba linapokuja suala la utu binadamu wote ni sawaUpinzani una safari ndefu yaani watu wazito wote hua wako Ccm
Unaongea vitu usivyovijua ,kuna CEO alikuwa analipwa 45m per month ,anaishi kwenye ufukwe oysterbay ,V12 Brand New na Dereva 24hrs kampuni binafsi.Hamzidi waziri ww hata katibu mkuu hamfikii
MaCEO wa kenya sawa sio MaCEO WA BONGO
Yes Kujineemesha!! Hasa wana CCM wanaenda Kugonga meza na kupiga YOPE kwa JIWE!! Hawawasemei wananchi waliowachagua kabisa.Kweli Watanzania ni wajinga na wabinafsi.. Kwahiyo wewe unachoona ni Ubunge ni kujineemesha yeye na familia yake??
Huyo hana shida na pesa mkuu, hata hiyo 12m anaweza kuisign tu ikasaidie yatima..
Yes wanapata zaidi ya hiyo kama ukiweka michanganuo vizuri,si uliona sugu alikopa CRDB na kufanikisha kujenga hotel ,si uliona Ndugai alitaja Mkopo wa lema bungeni? Kwahiyo kuna fursa ya kukopa hata zaidi ya 1b.kumbe hawa waheshimiwa sana wanaweza pata milioni 800 ?
Angegombea urais mkuu ,CEO/MD wa CRDB ni zaidi ya mbunge!!Sometimes pesa si kitu,Bali power.
Kwani Trump na mapesa yake mbona kajitosa kwenye siasa?
Too Low!! Kimei ni mfanyabiashara? Mo/ROstam ni wafanyabiashara na walitumia ubunge wao kujinufaisha kibiashara!!Kwani Mo au Rostam walivyoenda kugombea ubunge walikua wanakimbiza 12m
Msiogope Katia nia tu hajaptishwa, subirini apitishwe ndio muhofie.
Inasikitisha Sana ,mtu aliyejijengea heshma kwa muda mrefu,akajenga taasisi ya fedha hadi kuwa ya kupigia mfano na kisha akastaafu,anakubali kujiunga na mambo ya siasa.Hakika haijawahi kumuacha mtu salama.Ni tamaa,Ni kutishwa ama chanzo ni nini? Atakuwa tayari kuishi matokeo atakayoyapata? Mahiga na Augustino Ramadhani hakuna ajuaye nini kiliwatokea.Huu ndio mwisho wa heshima ya Bwana Kimei.
Siasa ni chafu, na madudu yake sasa hadharani.
Sasa 45M waziri hawezi kuipata? Magumashi ya wizara yote anayajua,Unaongea vitu usivyovijua ,kuna CEO alikuwa analipwa 45m per month ,anaishi kwenye ufukwe oysterbay ,V12 Brand New na Dereva 24hrs kampuni binafsi.
Yanathibitika bana,unajua neno vijisenti lilitokana na nini? Alipata mgao wa Radar akaficha Rhode Islands Uingereza,ikijulikana,wakati anatoka nje ya nchi akabanwa na waandishi wa habari uwanja wa ndogo ndo akasema hivyo Ni vijisent tuu.Hapo ndo jina vijisent likampata.Madudu yapi ?Wengine wanafanya madudu kisomi. Hata ukimtafuta hupati traces. Ni kama mzee wa vijisenti huwezi dhibitisha madudu yake.
Mkuu amini nakuambia wale wote walio hamia ccm kutoka Chadema wanapigwa chini wote, kama kina Lijuakali watapigwa chiniMbatia bye bye. Maana tusidanganyane pesa ni kama magnet inavuta watu bwana.
Hiyo wizara anaweza kuichukua mzeeWizara sensitive hio hawezi kaa apo
Atapewa viti vya wanawakesasa hivi Mbatia ile kipara inamtoka jasho