Haikuwahi kudhibitika kuwa hizo pesa aliiba. Otherwise angefungwa kama wenzake kina Mramba.Yanathibitika bana,unajua neno vijisenti lilitokana na nini? Alipata mgao wa Radar akaficha Rhode Islands Uingereza,ikijulikana,wakati anatoka nje ya nchi akabanwa na waandishi wa habari uwanja wa ndogo ndo akasema hivyo Ni vijisent tuu.Hapo ndo jina vijisent likampata.
Unaropoka tu hamna wa kulipwa hela hyo,halafu hyo V12 brand new ndo gari gani?Unaongea vitu usivyovijua ,kuna CEO alikuwa analipwa 45m per month ,anaishi kwenye ufukwe oysterbay ,V12 Brand New na Dereva 24hrs kampuni binafsi.
TamaaaAliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Ndugu Charles Kimei amefika katika ofisi za CCM Kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi-CCM kupeperusha bendera Jimbo la Vunjo.
Pia soma> Uchaguzi 2020 - Dkt. Charles Kimei Mbunge mtarajiwa Vunjo
Late 90's $1mil chenge angeweza kuipataje pesa hio?Haikuwahi kudhibitika kuwa hizo pesa aliiba. Otherwise angefungwa kama wenzake kina Mramba.
Sasa 45M waziri hawezi kuipata? Magumashi ya wizara yote anayajua,
Kenya ndio kuna maCEO wanalipwa hadi milioni500(kila kitu) kwa mwezi.
Yote hayo ni maneno. Anajua mwenyewe alivyoipata. Ila hakuna wa kudhibitisha kuwa jamaa aliiba.Late 90's $1mil chenge angeweza kuipataje pesa hio?
Tatizo jamaa ni Mangi,hapo tu.Hiyo wizara anaweza kuichukua mzee
Mtumishi wa Umma anapataje $1mil kwny late 90's?Yote hayo ni maneno. Anajua mwenyewe alivyoipata. Ila hakuna wa kudhibitisha kuwa jamaa aliiba.
Wewe tu na umasikini wako unaona hakuna watu wanalipwa hiyo,hivi unajua ma CEO wa migodini wanalipwa ngapi? Usifatilie maana unaweza ukazimia kama 45m umeona ni nyingi,kwani unavyoambiwa serikali iache kununua V8? Kwani V8 ni nini? Ukishindwa hoja acha kuangalia vitu ambavyo mtu makini akiona atajua huna hoja!! Sio kila kitu mpaka utafuniwe,JF ni great thinkers!! Akiambiwa v12 anajua tunazungumzia nini,kadri unavyojifanya mjuaji ndio unazidi kuanika "UBUMUNDA" wako!!Unaropoka tu hamna wa kulipwa hela hyo,halafu hyo V12 brand new ndo gari gani?
Mama la mama nakufollow tokea juu naona unamtetea sana baba la baba... ama ni baba mkwe ninii... Ila usiwaze wanaomwandama ni wivu tu, kwanza hela haikuwa ya bibi yaoYote hayo ni maneno. Anajua mwenyewe alivyoipata. Ila hakuna wa kudhibitisha kuwa jamaa aliiba.
Mbatia imekula kwake!Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Ndugu Charles Kimei amefika katika ofisi za CCM Kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi-CCM kupeperusha bendera Jimbo la Vunjo.
Pia soma> Uchaguzi 2020 - Dkt. Charles Kimei Mbunge mtarajiwa Vunjo
Hapana simtetei. Ila jamaa huwa anaiba halafu haachi traces. Hakuna transactions wala nini. Sasa hapo hakuna wa kudhibitisha.Mama la mama nakufollow tokea juu naona unamtetea sana baba la baba... ama ni baba mkwe ninii... Ila usiwaze wanaomwandama ni wivu tu, kwanza hela haikuwa ya bibi yao
Na wewe unalipwa milion arobain na ngap? Halafu nimekwambia uweke Hilo V12 naona unabwabwaja tu si ajabu hata paso hunaWewe tu na umasikini wako unaona hakuna watu wanalipwa hiyo,hivi unajua ma CEO wa migodini wanalipwa ngapi? Usifatilie maana unaweza ukazimia kama 45m umeona ni nyingi,kwani unavyoambiwa serikali iache kununua V8? Kwani V8 ni nini? Ukishindwa hoja acha kuangalia vitu ambavyo mtu makini akiona atajua huna hoja!! Sio kila kitu mpaka utafuniwe,JF ni great thinkers!! Akiambiwa v12 anajua tunazungumzia nini,kadri unavyojifanya mjuaji ndio unazidi kuanika "UBUMUNDA" wako!!
Sheria ni kitu kizuri sana ukikijua... Kwamba ni kosa kuvunja sheria kwa kuwa ukiivunja utashughulikiwa na dola ni jambo moja ila ukiwa smart enough unaweza kuivunja sheria hiyo hiyo ukiwa sehemu ya dola bila kuacha trace na bado ukasaidia kummulika mwizi maisha yakiendelea huku ''uchunguzi'' ukiendelea...kuja kushtuka miaka mitano tena hii hapa unachukua tena basiiiii!Hapana simtetei. Ila jamaa huwa anaiba halafu haachi traces. Hakuna transactions wala nini. Sasa hapo hakuna wa kudhibitisha.
sasa mahiga na augustino unataka kusema vifo vyao vina walakini sioInasikitisha Sana ,mtu aliyejijengea heshma kwa muda mrefu,akajenga taasisi ya fedha hadi kuwa ya kupigia mfano na kisha akastaafu,anakubali kujiunga na mambo ya siasa.Hakika haijawahi kumuacha mtu salama.Ni tamaa,Ni kutishwa ama chanzo ni nini? Atakuwa tayari kuishi matokeo atakayoyapata? Mahiga na Augustino Ramadhani hakuna ajuaye nini kiliwatokea.
Google salary and others benefits za Joshua Oigara CEO wa KCB-KENYA na GIDEON MURIUKI CEO wa Cooperative bank of Kenya.Kadanganye wazushi wenzako wa kayole!! Trump mwenye raisi wa Dunia halipwi 500m per month.
Mimi sio CEO wa kampuni,mimi ni mjasiliamali mdogo mdogo mwenye kipato cha laki 4 hadi laki 6 kwa mwezi,nishavuka stage ya kuchukulia gari kama kitu cha hatari ,kwasisi wenye familia gari muhimu sana kuwa nazo kwahiyo ondoa shaka kuhusu kumiliki magari.Na wewe unalipwa milion arobain na ngap? Halafu nimekwambia uweke Hilo V12 naona unabwabwaja tu si ajabu hata paso huna
Elewa Mkuu Salary na sio benefits , benefits zinachange mkuu kulingana na hali ya hewa(mazingira),mie nazungumzia salary!! Hata bank ukichukua mkopo wanataka kujua salary na sio benefits wala allowances(incentives).Google salary and others benefits za Joshua Oigara CEO wa KCB-KENYA na GIDEON MURIUKI CEO wa Cooperative bank of Kenya.