Aliyekuwa Mkurugenzi wa PSSSF akutwa na kesi ya kujibu

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
img-20221106-wa0040.jpg

Mahakama ya Wilaya ya Ilala imemkuta na kesi ya kujibu aliyekuwa Meneja wa Mfuko wa Pensheni kwa watumishi wa Umma (PSSSF), Rajabu Kinande na wenzake wanne.

Mbali na Kinande washtakiwa wengine ni Ashura Kapera (37), Farida Mbonaheri (34), Mohamed Miraji (48) na Msafiri Raha ambapo wanakabiliwa na mashtaka manne likiwemo la kuvunja duka.

Wakili wa Serikali, Michael Ng'oboko amesema leo Desemba 16 kuwa utoaji wa ushahidi katika shauri hilo umekamilika.

Baada ya maelezo hayo, Hakimu Mkazi, Fadhili Luvinga amesema washtakiwa hao wamekutwa na kesi ya kujibu hivyo wanatakiwa kuanza kujitetea.

Luvinga amesema washtakiwa hao wataanza kujitetea kwa siku tatu mfululizo kuanzia Januari Mosi hadi Januari 3, 2023.

Shauri hilo limeahirishwa hadi Januari Mosi, 2023 Kwa ajili ya kuanza kujitetea.

Katika kesi ya msingi kati ya Juni 16, 2020 mtaa wa Gerezani Wilaya ya Ilala, washtakiwa wote kwa pamoja wanadaiwa kuvunja na kuingia kwenye duka la Mohamed Soli kwa nia ya kuiba.

Washtakiwa wote kwa pamoja wanadaiwa kuiba vitu mbalimbali ikiwemo viyoyozi vyenye thamani ya Sh830, 000 mali ya Salehe Selemani.

MWANANCHI
 
Laki Nane na Elfu Thelasini[emoji28]khaaa
 
Kesi ya mambo ya upangaji au rushwa
 
Hata mbowe alikutwa na kesi ya kujibu
 
PSSSPF mbona mishahara na malupulupu kibao ikawaje meneja aibe AC ya laki 8 wakati ni chenji tu hyo kwa meneja PSSSPF...
Ujue mkuu, kwa kuwa hatujaelezwa kesi ya msingi ilivyokuwa, yawezezekana waliingia kibabe kwenye duka hilo labda kwa ishu ya madeni na kudaiana, kisha wakageuziwa kibao.

Watu wakiwaga kwenye nyadhifa hujifanya miungu watu sana.
 
Kesi kama hii ishawahi kumkuta ndugu yangu , mpangaji alikuwa anapiga danadana kulipa kodi ya nyumba, walichofanya ni kutia makufuli nyumba kisha wakasepa

Mpangaji akaenda kufungua kesi mahakamani kudai fidia ya hasara na usumbufu aliyopata kutokana na nyumba kupigwa kufuli na mambo mengneyo, cha moto walikiona

Sasa kesi ya huyu jamaa inaonekana wamegeuziwa kibao na huyó jamaa
 
img-20221106-wa0040.jpg

Mahakama ya Wilaya ya Ilala imemkuta na kesi ya kujibu aliyekuwa Meneja wa Mfuko wa Pensheni kwa watumishi wa Umma (PSSSF), Rajabu Kinande na wenzake wanne.

Mbali na Kinande washtakiwa wengine ni Ashura Kapera (37), Farida Mbonaheri (34), Mohamed Miraji (48) na Msafiri Raha ambapo wanakabiliwa na mashtaka manne likiwemo la kuvunja duka.

Wakili wa Serikali, Michael Ng'oboko amesema leo Desemba 16 kuwa utoaji wa ushahidi katika shauri hilo umekamilika.

Baada ya maelezo hayo, Hakimu Mkazi, Fadhili Luvinga amesema washtakiwa hao wamekutwa na kesi ya kujibu hivyo wanatakiwa kuanza kujitetea.

Luvinga amesema washtakiwa hao wataanza kujitetea kwa siku tatu mfululizo kuanzia Januari Mosi hadi Januari 3, 2023.

Shauri hilo limeahirishwa hadi Januari Mosi, 2023 Kwa ajili ya kuanza kujitetea.

Katika kesi ya msingi kati ya Juni 16, 2020 mtaa wa Gerezani Wilaya ya Ilala, washtakiwa wote kwa pamoja wanadaiwa kuvunja na kuingia kwenye duka la Mohamed Soli kwa nia ya kuiba.

Washtakiwa wote kwa pamoja wanadaiwa kuiba vitu mbalimbali ikiwemo viyoyozi vyenye thamani ya Sh830, 000 mali ya Salehe Selemani.

MWANANCHI
Huu ni uandishi wa kihuni maana habari haijakamilika kwa kuwa haileti mantiki yoyote kwa mkurugenzi kuvunja na kuiba kitu chenye thamani ndogo hivi?!!

Watuambie kama alikuwa amechanganyikiwa,ama nini kilitokea hadi kufikia kuvunja duka.

Vinginevyo habari kama hizi ni za kihuni tu

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Hii kesi ina walakini huyo mkurugenzi akale njama kuiba laki 8?
 
Huu ni uandishi wa kihuni maana habari haijakamilika kwa kuwa haileti mantiki yoyote kwa mkurugenzi kuvunja na kuiba kitu chenye thamani ndogo hivi?!!

Watuambie kama alikuwa amechanganyikiwa,ama nini kilitokea hadi kufikia kuvunja duka.

Vinginevyo habari kama hizi ni za kihuni tu

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Kweli kabisa. Mara mkurugenzi wa PSSSF, mara meneja wa PSSSF.
 
Back
Top Bottom